Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,896
- 1,214
Mtatiro amethibitisha kutogombea tena jimbo la Segerea kwa tiketi ya CUF kwa akili ya fasta fasta ni kuwa hilo jimbo litapeperushwa na CHADEMA na mtu pekee wa kulitetea hilo ni Makongoro Mahanga Swaiba wa Edo aliyehama CCM.
Hapo UKAWA wameshaliacha jimbo hilo tayari.
Hapo UKAWA wameshaliacha jimbo hilo tayari.