funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
Kama ni kweli Mtatiro kaachia, basi yawezekana anamwachia Dr.Slaa angombee ili ateuliwe kuwa Waziri Mkuu.
Yaani slaa awe waziri mkuu wa serikali ys mafisadi?
Kama ni kweli Mtatiro kaachia, basi yawezekana anamwachia Dr.Slaa angombee ili ateuliwe kuwa Waziri Mkuu.
Makongoro Mahanga hana nafasi katika serikali itakayoundwa na Lowassa.
Wewe komaa na mambo ya CCM sisi tunasubiri orodha ya wagombea ubunge tuwaunge mkono kuendeleza mapambanoKama hujui bora ukae kimya, segerea likikuwa limeachwa mikonon mwa CUF sasa chadema walifanya lini kura za maoni kule?
source please ?? ukawa wanaye mgombea segerea tayari kwahiyo hakuna mtu atakayemuachia makongoro mahanga na akiachiwa hawezi shinda anyway kwahiyo ukawa watakuwa hawakutumia busara kabisa kumuachia makongoro.