Lowassa alisema historia itamuhukumu Kikwete, yanatimia

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,628
Habari za mida wakuu

Inajulikana yaliyotokea Dodoma dhidi ya Edward Lowassa kubaniwa vilivyo na jamaa zake wa zamani

Inajulikana pia vigisufigisu alizofanyiwa Lowassa alipoingia Chadema mpaka matokeo yanatangazwa.

Alipoulizwa juu ya 'jamaa yake' kumfanyia yote hayo alisema maneno machache ,'Historian Itamhukumu.'

Maneno ya Lowassa yanatimia kwa hawa pia,Nape,January,Mwigulu ambao nafsi zao zinamkumbuka huyu mzee wa watu.
 
Edward Ngoyai Lowassa, a man of few words, he keeps every bitterness in his heart! he has no time for small minds and of course yes, History will judge them harshly
 
Maneno ya Lowassa yanatimia kwa hawa pia,Nape,January,Mwigulu ambao nafsi zao zinamkumbuka huyu mzee wa watu.
WEWE EBU ACHA BANGI.........kwani LOWASSA NI nani?????......mfanyeni awe M/KITI wa chama chenu akibadilishe kiwe kwenye ubora unaotakiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom