Lowassa alirudisha kadi ya CCM?

 

Kwani Dr. Slaa alivyotoka CCM na kuhamia CHADEMA kadi yake alirudisha???

Ile ni mali yake,ana uhamuzi wa kuirudisha,kuichoma moto,kuichana au kubaki nayo.
 



Aliichoma moto
 
Tatizo la vijana wa ccm nikuto kuelewa nini na wakatigani wanatakiwa wafanye nn...
 
uanachama unaisha anaporejesha kadi na kuacha kulipia ada na kuacha kujihusisha kabisa na mambo ya chamaaa.
akifanya hayo atabaki kuwa follower not member
 
Anza kumuuliza kwanza
1:Mwampamba
2:shonza
3:Arfi
Je walirudisha kadi za cdm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…