Hapo ni ukanda tu, walitarajia Mizengwe haitakatwa. Sio leo tena hiyo.
Halafu mbona anaezomea ni mmoja tuu
Hao walikua ni wafuasi wa ukawa kama mwanzo wamemzomea leo akienda watampongeza
Lowassa ni dizeli chafu.Dizeli hiyo ni nani? au makufuli? Dizeli chafu hutapishwa na ndio maana ccm inatemwa rasmi mwaka huu maana haiwezi kuendesha injini tena. Mwaka wa service kubwa huu.
Lowassa ni dizeli chafu.