Lowassa alipigiwa lini kura ndani ya CHADEMA?

Lowassa alipigiwa lini kura ndani ya CHADEMA?

Imarisheni CCM yenu , irawale milele tuone kama hayo maendeleo yatakuwepo. Maana swala la Lowassa linawanyima usingizi usiku huu wote.

Lakini pia ujue mkt ananafasi zake za uteuzi . Anayo hiyari kama ilivyo huko CCM kumteua mwanachama yeyote kuwa mjumbe wa halmashauri kuu so hatuoni baya na kosa lolote
Kuteua siyo tatizo, pale meza kuu anafuata nini maana wateule wa hadhi yake wapo kwenye viti vya nyuma kama Sumaye.
 
QUOTE="Red tea jr, post: 16955562, member: 375123"]Kabisa mkuu, natamani siku Dr slaa anarudi tumpokee airport port na huo uwe mwanzo wa kudai muda wetu, rasilmali zetu, nguvu zetu, hatuwezi kuporwa chama chetu pendwa tulichopigania na waroho wa pesa[/QUOTE]
hahaha. ..mnachekesha kweli...it's only cowards wanakimbia vita...
 
Kuteua siyo tatizo, pale meza kuu anafuata nini maana wateule wa hadhi yake wapo kwenye viti vya nyuma kama Sumaye.
tofauti yake na wote wale...yeye pekee alikuwa mgombea wa urais and with 6mn plus votes ...ni heshima tu kukaa pale..au nitajie mwingine aliyegombea urais aliyekaa kwenye meza zingine...ifike wakati JF tujadili mambo ya msingi...seriously tunakuja hapa kujadiliana meza aliyokaa lowasa kikaoni...really?
 
Hoja hapo siyo meza, kwanini anapewa hadhi yeye peke yake? Ukigombea ndiyo iwe tiketi ya kukaa meza kubwa?

Unapojibu hoja kwa fikira na utashi unazua maswali mengine. Wanachama hawapendi hiyo kitu anayoifanya mmiliki.
 
Swali ni lowasa ana nafasi gani chadema na alichaguliwa na kikao au mkutano upi? Hichi ndo cha kujibiwa sio lingine,kwa nini mnazunguka?
 
Mjomba hicho chama ni pesa yako tu.
Kifupi ni saccos hiyo.
Tafuta mpunga ukapewe uongozi wa juu wa chama.
 
Mleta uzi huu unauliza maswali ya kijingaaa
Lowasa kutwa kumtajataja hvi mpakaaa awa gege..... Ndiyo mtatuliaaaa.....
Nyambavvvv
 
Tangu lini maskini akathaminiwa?. Naomba mnijibu kwa nini kwa mujibu wa katiba yenu m/kiti anakuwa rais na si vinginevyo.
 
Huwa sielewi kwa nini vijana wa Tanzania tunajadili upumbavu badala ya maendeleo. Wekeni mada zenye mantiki kwa Taifa na sio mambo haya yasiyoleta tija kazi kubishana kwa hoja za kijinga.
 
Back
Top Bottom