Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa ngalalekumtwa , lakini ikumbukwe kwamba chama chao chini ya kamati ya mangula kiliwaonya walioitwa wasaka urais kwa njia za panya kutumia shughuli kama hizi ili kutafuta kuungwa mkono , sasa cha kushangaza ameonekana kwenye shughuli ambayo sidhani kama wabunge wa kigeni walialikwa ! Je adhabu yao imeisha ?
yupi kati ya january makamba na lowassa anayefanya kampeni? Pambaf
Ha! Ha! Ha! Unaambiwa kuna mahali anajulikana kama USTAADH ABDALLAH!
ni kweli kwenye richmond alichapa kazi nzuri sana kutuibia pesa zetu.
unajidanganya sana kama hakuhusika kwenye richmond kwa nini alijuuzuru hizo pesa unazohongwa kumtetea huyu mchafu mwenzako zitakupeleka motoni .Wewe ni Mgeni na yanayotokea Tanzania? aliiba shilingi ngapi? usiaminishwe matango mwitu. Kama kweli alikula hela zetu kwanini hajapelekwa kwa Pilato? Jiulize kulikuwa na kikao cha CC na NEC kutaka kung'oa magamba na alikuwa amelengwa yeye na wapinzani wake lakini unajua nini kilitokea kwanini hiyo agenda JK aliitoa isijadiliwe? kwanini hawakumtoa mpaka leo? Kosa halikuwa la kwake na kwa taarifa yako, katika chama chake na hata nje ya chama chake ana heshima kubwa sana na wapinzani wake wakiwemo mawaziri, manaibu na wabunge wengine wanamgwaya. anakkubalika sana na ni tishio kwa 2015. kwa sababu hiyo propaganda nyingi zitatungwa ili kumchafua likiwamo la kuwa afya yake ni mgogoro, ana kitambi cha minyoo, n.k. HUO NI UTITIRI na MAJUNGU tu, tukifika 2015 mwishoni utapata majibu ya hili nililolisema. Kwa hiyo usiingie kwenye vita ya TEMBO na wewe ni panya, utaumia, utakanyagwa huko miguuni kwao na wala hawatajua kama kulikuwa na kiumbe huko chini. wewe kula dona na maharage ukishiba kacheze hiyo inakutosha ndugu yangu.
raisi wa monduli ikulu hakuna wodi za kulaza wagonjwa.Lowasa ndio president hutaki we mbishi
wote wanafanya kampeni chafu Kingunge alishasema wote waliotangaza nia za kugombea uraisi ndani ya ccm hawana sifa za kuwa raisi.yupi kati ya january makamba na lowassa anayefanya kampeni? Pambaf
wote wanafanya kampeni chafu Kingunge alishasema wote waliotangaza nia za kugombea uraisi ndani ya ccm hawana sifa za kuwa raisi.
wote wanafanya kampeni chafu Kingunge alishasema wote waliotangaza nia za kugombea uraisi ndani ya ccm hawana sifa za kuwa raisi.
raisi wa monduli ikulu hakuna wodi za kulaza wagonjwa.
Mateso gan wewe acha hizoHuwa najiuliza sana, hivi Lowassa anautafuta urais wa nini wakati afya yake imedhoofu kiasi hicho? Na kama urais ndio unatafutwa hivyo, basi tujiandae kwa mateso.
AlishinikizwaAalikwe kama waziri mkuu mstaafu, sorry sio mstaafu, aliyejiuzulu, sorry tena leo nachapia sana sio aliyejiuzulu ila aliyeshinikizwa kujiuzulu kwa shinikizo la juu kutokana na kashfa nzito ya ufisadi wa RICHMOND.
Mnafiki mkubwa wewe!ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?
Bado ni mchafu?unajidanganya sana kama hakuhusika kwenye richmond kwa nini alijuuzuru hizo pesa unazohongwa kumtetea huyu mchafu mwenzako zitakupeleka motoni .
Kingungewote wanafanya kampeni chafu Kingunge alishasema wote waliotangaza nia za kugombea uraisi ndani ya ccm hawana sifa za kuwa raisi.
Ulizungusha mikono hadi imekatika.Weee ! Unasema kweli mkuu ?
Nani asikate gogo, Ila kweli ye anafinya gogo hakati maana pale geita stage alifinyanga gogoInakokwenda watataka hadi "asikate gogo"