Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,496
- 272,165
Mtake mstake, Lowasa ni Kiongozi katika hii nchi. Cheo cha Askofu sio cha kijiji. Na kwamsiofahamu Baba Ngalalekumtwa ndiyo mwenyekiti wa baraza la maaskofu. Hivyo basi shughuli ya jubilee yake lazima watu kama Lowasa waalikwe
kwani ile si shughuli kama shughuli nyingine
Huwa najiuliza sana, hivi Lowassa anautafuta urais wa nini wakati afya yake imedhoofu kiasi hicho? Na kama urais ndio unatafutwa hivyo, basi tujiandae kwa mateso.
Aalikwe kama waziri mkuu mstaafu, sorry sio mstaafu, aliyejiuzulu, sorry tena leo nachapia sana sio aliyejiuzulu ila aliyeshinikizwa kujiuzulu kwa shinikizo la juu kutokana na kashfa nzito ya ufisadi wa RICHMOND.waalikwe kama nani ?
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?
Inakokwenda watataka hadi "asikate gogo"
Hujui chochote kaa kimyaaa
Aalikwe kama waziri mkuu mstaafu, sorry sio mstaafu, aliyejiuzulu, sorry tena leo nachapia sana sio aliyejiuzulu ila aliyeshinikizwa kujiuzulu kwa shinikizo la juu kutokana na kashfa nzito ya ufisadi wa RICHMOND.
we ni -------- sanaameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?
Inakokwenda watataka hadi "asikate gogo"
waalikwe kama nani ?
Teh teh teh! Ndo hivyo mkuu, ni kosa kubwa sana kumuita Lowassa mstaafu maana hakustaafu muda wake ulikuwa bado pia hakujiuzulu kwa hiari yake bali kwa shinikizo tena la juu sana kwa kashfa nzito sana ya Richmond.nimecheka sana !