Kushindwa urais kwa Lowassa kuliwaliza wengi. Kwanza Ni mkewe Regina, aliyekuwa akiisaka u.first Lady! Pili ni Gwajima aliyetaka kuona mambo take yanalindwa Ikulu Ili apate mwanza wa kuwapumbaza waumini wake kwamba anao 'upako' wa kumpa mtu urais.
Tatu ni wahariri njaa waliokuwa wanaota kumrithi Salva Ikulu.
Wasitake tamaa. Kwa jinsi Rais Magufuli anavyotumbua 'majipu' huenda Chadema wakampitisha Lowassa kugombea urais Mwaka 2020 Na kushinda!!