The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,434
- 3,679
Hapana, wanajua Lowasa ni muhalifu mwenzao kama anavyotetea wakwepa kodi.Manaake wanajua Lowassa ni kama JK tu kuchekea ujinga ndio kazi yake
Sahihi kabisa hao ndiyo wadau wa Lowasa na kundi lake la wezi.Watakao mkumbuka Lowassa ni mafisadi, wapendao kuvunja sheria, na wasiopenda maendeleo ya tz...
Yaani Mungu alitupa ufahamu hatua ya mwisho kabla ya uchaguzi ndo tukamchagua Magufuli. Kuna watu walidanganyika tangu awali kuwa Lowasa ndo anafaa. Mungu alivyo mkubwa, akampa kaugonjwa ka kujinyea ndo wananchi wakashtukakweli nimeami tanzania mungu anaipenda sijui tulidanganyika nini kumpenda lowassa. kwamba raisi wa kweli anatoka ndani ya ccm nimeamini
Yaani haya majipu yasingetumbuliwa kabisa. Majipu mengi yangegeuka kuwa tambazoLowassa alikuwa janga kwa taifa
ivi lowasa atakumbukwa kwa lipi hasa?
Yaani Mungu alitupa ufahamu hatua ya mwisho kabla ya uchaguzi ndo tukamchagua Magufuli. Kuna watu walidanganyika tangu awali kuwa Lowasa ndo anafaa. Mungu alivyo mkubwa, akampa kaugonjwa ka kujinyea ndo wananchi wakashtuka
Kwani hawakumchagua??Hatimae wananchi wameanza kukiri heri wangemchagua Lowassa kua rais huenda angewahurumia katika bomoabomoa inayoendelea.
Wadau hii maana yake nini?
Chanzo: Tanzania Daima