Lowassa akishindwa urais, yafuatayo yatatokea...

MARA IMARA

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
238
163
Mimi si mfusi wa ukawa wala ccm ila napenda tu kufanya uchambuzi na kuwa huru kifikra naamini ndo ntajifunza zaidi, nimeangalia zaidi negative side (THREATS)maana ndo inasaidia kujua mapungufu na kusaidia kujipanga

YAFUATAYO YATATOKEA ENDAPO LOWASA ATASHINDWA KUINGIA IKULU

1. Kampuni nyingi anazomiliki zitakuwa bankruptcy(Kufilisika), less liquidity(kuwa na kiwango kidogo cha cash), high debt ratio(madeni makubwa) or itabidi zifanye restructuring km kufukuza wafanyakazi, au kupandisha bei ya huduma na kwa zile anazomiliki hisa yeye na wenzake itabidi auze sokoni ambapo kunaweza pelekea hisa za kampuni husika kushuka bei kutokana na kuwa nyingi sokoni au kubadilishwa umilikaji maana ukipiga gharama alizotumia toka akiwa CCM mpaka UKAWA ni kubwa mno maana anaji finance mwenyewe na ni ngumu kweli kweli kubeba peke yako gharama za uchaguzi tokea ngazi ya chama hadi taifa.



2. Anaweza hama nchi akaishi nje hasa RWANDA ambako anaweza amua kuendeleza mipango mikakati (KAMA KAWEZA KUHAMA CCM ANAWEZA PIA KUWA MUASSSI si mnamsifia ana maamuzi magumu.), na km ataamua kutulia ataenda ulaya ama afrika kusini .



3. CHADEMA kitapoteza umaarufu kwa kiasi kikubwa maana wenye akili zao waliokuwa wanabunni mipango watakuwa wametoka slaa na Zitto, mbowe hana akili za kuongoza chama anatumia tu akili za wenzake na ujanja ujanja wa town ni sawa na wale wanafunzi waongeaji na wapiga kelele kwenye mithani wanaishiaga kuibia.



4. CUF kitakufa Tanzania bara



5. ACT kitapata ummaarufu mkubwa hasa kwa watu wenye elimu km vyuoni na 2020 kitakuwa na nguvu kubwa hasa kwenye ubunge, Maana kuna wana ukawa nawaona wakishindwa tu ubunge watatimkia ACT mfano Kafulila, Mnyika, Mtatiro, Easther Bulaya.


6. CCM itaimarika chini ya Magufuli.



7. Masha, na Mgeja, watarudi CCM.


8. .Afya yake itazidi kudhoofu.

9. Itapita miaka mingi sana kaskazini kutoa mwanasiasa mwenye nguvu.

10. Baadhi ya makampuni kuendelea kwake kutategemea huruma ya raisi atakae shinda i.e Magufuli.

11. Lipumba kujiunga ACT.

Kama kuna ambalo sijaliona unaweza ongezea.
 
SUPPOSE AKISHINDA upo upande wa pili wa shillingi na je Katiba mpya na swala la KADHI
 
MARA IMARA

Rais wako mwenyewe alisema 30 April itapigwa kura ya maoni ,kwa sasa anaona aibu anaishia kusema ushindi ni lazima wakati alishawaambia ccm kuwa mjiandae kisaikolojia ,Tafakari
 
Last edited by a moderator:
kama mchambuzi tena usiyeegemea upande wowote naamin lazima unajua pande mbili za shilingi. tuambie pia ikiwa Magufuli atakosa urais huenda nini kikatokea? lakini pia tuambie lowassa akishinda nini kikatokea na
magufuli akishinda kikatokea nini.
 
Kuna mawili either you just graduate from finance au accounting sasa unanza bragging kwamba unajua financial terms. Au your a student na Sababu vyuo vimefungwa unajitahidi kumanage your cramming capacity. Wherever the case your wrong in many shapes and form.
 
Back
Top Bottom