Lowassa akirudi CCM, Dkt. Slaa atasemaje?

lipumba na slaa walikuwa wanajua wafanyalo that's why walimkimbia fisadi lowasa
Kwa haraka haraka nikama makali ya kuitwa fisadi yatapungua maana alivyokuwa CCM aliitwa fisadi na kuwekwa kwenye list.
Alipohamia chadema akaonekana ni mzuri na hata akapata nafasi ya kugombea kuwa kiongozi mkuu wa nchi na CCM waka sema ni fisadi ndiomana wamemuacha.

Then akirudi ccm atakuwa amebalance status yake, nakuwaacha wanachama wa upinzani na ccm wanashangaa kipi cha kufuatwa.

Siasa it's piece of sh$+.
 
Wakuu habari za asubuhi,

Nimejiuliza swali hilohapo juu, sababu wote tunafahamu kilicho muondoa Dr. Slaa CHADEMA.

Kwa kauliyake Dr. Slaa nikwamba yeye alijitoa CHADEMA sababu alikuwa ndie alie mtangaza Lowassa katika list of shame, na hakuwa na jinsi ya kumsafisha. Sasa ikitokea akakarudi CCM ningependa kusikia Dr. Slaa anamzungumziaje Lowassa.

Ngoja nisubiri kuona kunakitu kingine nataka kujifunza hapa.
Kwanza mue mnachosha Vichwa vyenu kwa tafiti kabla ya kuja na thread zenu zaifu hapa jukwaani.
Dr hakupinga Lowassa kuja chadema, iispokua alitaka mpango kazi ufanyike wa Namna ya Lowassa kujiunga na chadema, ikiwemo yeye Lowassa kuitisha press conference na kujisafisha mwenyewe kwamba si fisadi, sio kazi hiyo ifanywe na chadema, sasa Mbowe kwa kua alikula mlungula wakutosha akampotezea katibu wake, madhara yake ndo Haya mnayoyaona, hivyo chadema imeloose power iliokua nayo hapo mwanzo,

Suala la kukutana wao haijarishi, watakutana, ngoma droo,Lowassa kaukosa urais, Chadema baada ya Dr kuondoka kwa kutomsikiliza imeanza ku loose power
 
Wakuu habari za asubuhi,

Nimejiuliza swali hilohapo juu, sababu wote tunafahamu kilicho muondoa Dr. Slaa CHADEMA.

Kwa kauli yake Dr. Slaa ni kwamba yeye alijitoa CHADEMA sababu alikuwa ndie aliemtangaza Lowassa katika list of shame, na hakuwa na jinsi ya kumsafisha. Sasa ikitokea akakarudi CCM ningependa kusikia Dr. Slaa anamzungumziaje Lowassa.

Ngoja nisubiri kuona kuna kitu kingine nataka kujifunza hapa.
Watakutana huko ndio tusubiri majibu.
 
Dr silaa angekuwa mnafiki angeishi maisha mazuri sana..ila misimamo ya kutaka ukweli ndio inamponza..haoni mbowe anavyobadili gia tu..muda na saa yoyote akitaka.
Dr slaw ndio alimfuata lowassa bashite hivi wewe akili zake zipo wapi
 
Slaa hakupinga Lowassa kuhamia Chadema alipinga Lowassa kugombea Urais kupitia Chadema wakati aliitwa Fisadi na kutangazwa hivyo for eight years
Alisema alitaka ajisafishe akiwa CCM kabla hajahamia ila slaa alikuwa tayari kumpokea mbona unamlisha maneno

All in all hyo sio sababu iliyomtoa CHADEMA.... Alikubali kuburuzwa na grace mugabe wake
 
Slaa hana shida na Lowasa kupokelewa CHADEMA ila ana shida na Lowasa kupewa ugombea urais.
Sasa hata Lowasa akirudi CCM hatakua mgombea urais wa CCM wala kiongozi atakua mwanachama hatamuathiri chochote Slaa.
Hata Lowassa angekua CHADEMA kama mwanachama na sio mgombea Slaa asingetoka CHADEMA kwasababu hiyo coz alimpokea mwenyewe CHADEMA
 
Wakuu habari za asubuhi,

Nimejiuliza swali hilohapo juu, sababu wote tunafahamu kilicho muondoa Dr. Slaa CHADEMA.

Kwa kauli yake Dr. Slaa ni kwamba yeye alijitoa CHADEMA sababu alikuwa ndie aliemtangaza Lowassa katika list of shame, na hakuwa na jinsi ya kumsafisha. Sasa ikitokea akakarudi CCM ningependa kusikia Dr. Slaa anamzungumziaje Lowassa.

Ngoja nisubiri kuona kuna kitu kingine nataka kujifunza hapa.
Wahenga walisema 'Ni Heri ukosee kujenga kuliko kukosea kuoa",
CC; Bi Josefine
 
Kwanza mue mnachosha Vichwa vyenu kwa tafiti kabla ya kuja na thread zenu zaifu hapa jukwaani.
Dr hakupinga Lowassa kuja chadema, iispokua alitaka mpango kazi ufanyike wa Namna ya Lowassa kujiunga na chadema, ikiwemo yeye Lowassa kuitisha press conference na kujisafisha mwenyewe kwamba si fisadi, sio kazi hiyo ifanywe na chadema, sasa Mbowe kwa kua alikula mlungula wakutosha akampotezea katibu wake, madhara yake ndo Haya mnayoyaona, hivyo chadema imeloose power iliokua nayo hapo mwanzo,

Suala la kukutana wao haijarishi, watakutana, ngoma droo,Lowassa kaukosa urais, Chadema baada ya Dr kuondoka kwa kutomsikiliza imeanza ku loose power
Mkuu unavyosema hakupinga unamaanagani, hoja ya kwamba lowasa angejisafisha mwenyewe kwanza ndio ajechadema, unadhani mudaulikuwa unatosha kujisafisha au yalifanyika maandalizi ya zimamoto ili kumpatamgombea kwa namnayoyote?.

Hapa jibunimoja tu kwamba Slaa alipinga ujio wa lowasa,no matter alitumia njiagani, kupinga ni kupingatu.

Nataka aseme kitu sasahivi kama lowasa akirudi ccm.
 
Slaa hana shida na Lowasa kupokelewa CHADEMA ila ana shida na Lowasa kupewa ugombea urais.
Sasa hata Lowasa akirudi CCM hatakua mgombea urais wa CCM wala kiongozi atakua mwanachama hatamuathiri chochote Slaa.
Hata Lowassa angekua CHADEMA kama mwanachama na sio mgombea Slaa asingetoka CHADEMA kwasababu hiyo coz alimpokea mwenyewe CHADEMA
Logic.
 
Kwani Dr Slaa anaenda kufanya kazi na Lowasa ama Magufuli.?

Makanda bwana gia ya angani itawatesa sana.
Ila unaonekana alipo huyu na wewe upo
67357.jpg
 
Mkuu unavyosema hakupinga unamaanagani, hoja ya kwamba lowasa angejisafisha mwenyewe kwanza ndio ajechadema, unadhani mudaulikuwa unatosha kujisafisha au yalifanyika maandalizi ya zimamoto ili kumpatamgombea kwa namnayoyote?.

Hapa jibunimoja tu kwamba Slaa alipinga ujio wa lowasa,no matter alitumia njiagani, kupinga ni kupingatu.

Nataka aseme kitu sasahivi kama lowasa akirudi ccm.
Kwani Dr ni CCM?
 
hivi lowassa akirudi ccm ile list itarudishwa online au vipi?
Ufafanuzi tafadhari.
 
Kwani Dr Slaa anaenda kufanya kazi na Lowasa ama Magufuli.?

Makanda bwana gia ya angani itawatesa sana.
huyoooooo kaja mbio kujibu. Maliza kwanza kuoga weweee!!angalia bado povu liko sikioni
 
Back
Top Bottom