Lowassa ajitwisha majukumu ya UKAWA. Hatma ya Mbowe yazua mjadala. Sumaye kubeba mikoba ya Dk. Slaa

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
10003522_1026896104041514_1933473967359564364_n.jpg
>>
 
Chadema chama cha mafisadi tanzania kazi kweli lakini ndiyo vyama vya kikanda vilivyo.
 
mbona hili gazeti halifutwi?
Mwanahalisi likisema Magufuli atishia nafasi ya Kikwete litafutwaa
 
Hivi tuseme Magufuli anatishia nafasi ya Kikwete ?! CCM hangaikeni na mambo yenu especially Zanzibar
 
Hayo ndiyo mambo asiyoyataka kamanda wa anga, Siku zako za kuwepo hapo cdm zinahesabika!
Mamvi, mamilioni yako uliyompa kamanda wa anga yalikuwa ni malipo ya wewe kuruhusiwa kugombea urais tu na si vinginevyo. Kumbuka kwamba hukukaribishwa hapo ili uwe msemaji wa chama, Huko kujifanya wewe ndiyo msemaji mkuu wa chama kutakuja kukutokea puani, waulize akina Zitto nini kilichowakuta hapo chamani.
 
"Ghafla urais sina narudi Monduli, nakwenda kuchunga ng'ombeee simwezi Magufulu, radio one nao wameziraaa ITV ndo hatareee, udini hautambi tenaaa hawanitaki walutherii"...Just singing
 
Lowasa alitoa pesa nyingi sana pale chadema lazima awe na sauti kuliko mtu mwingine zile pesa za ufisadi bado anazo lazima aendelee kuwanunua wengine baada ya kumnunua mbowe.
 
Maigizo ya Lowasa yashahamia chadema na matumizi ya pesa za mafisadi zitamwagwa sana.
 
Zilitumika Bil.10 tu kumvua kama samaki
 

Attachments

  • 10003522_1026896104041514_1933473967359564364_n-2.jpg
    10003522_1026896104041514_1933473967359564364_n-2.jpg
    81.7 KB · Views: 24
Back
Top Bottom