Huyu mwamba wa Kaskazini nakumbuka ndo alipunguza ruzuku ya Magamba na kuwaongezea CHADEMA waliopata 40%, huku Magamba yenyewe yakiwa na 58% ambayo imeweka rekodi mbaya kwa chama hicho toka pale Tanzania ilipopata uhuru. Kamwe Magamba hawatamsahau huyu jamaa.