Lowassa ajiandae kisaikolojia zaidi

Umejua kutumika safi sana ila kikubwa nyota ya Lowasa kali sna kifupi Tanzania inamuitaji kuliko unavyofikiria
 
Ufipa katika ninaodhani wapumbavu we we unaongoza hivi bila kumtaja Kamanda Lowassa hujisikii? Pole sana Kamanda Lowassa pongezi kwako umewaumiza sana hawa wanafiki wa Lumumba
 
hawa ufipa washajimaliza wenyewe ... hawana makali tena ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…