Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
WanaJF,
Nimekuwa najaribu kufikiri mapito aliyopitia Mh. Lowassa katika siasa za Tanzania. Nikafikia kutoa ushauri na kueleza mambo yanayomwandama kwa sasa ndani na nje ya CHADEMA.
1. Sina imani kuwa atasimamishwa kugombea urais ndani ya CHADEMA kama ilivyokuwa mwaka jana ingawa ni Mtanzania pekee aliyetangaza mpaka sasa kugombea urais 2020.
2. Apunguze kutumia rupia kupata madaraka ya kiuongozi. Tutakumbuka watu walivyopiga hela katika harakati zake za kusaka urais mwaka jana.
3. Aache haraka kutaka kugawa chama chetu kwa kutumia vijana wa vyuo vikuu na kundi lake na Salim Mwalimu
4. Atafutea au aanzishe chama binafsi akakogombea na kuwa sultani kama wenye vyama vyao. Tunajua watu kama Cheo (UDP), Seif (CUF), Mbowe (CHADEMA), Mbatia (NCCR), nk.
5. Atambue watu wengi aliokuta kwenye chama hawampendi mpaka sasa baada ya kuanza kufanyakazi na watu wachache anaowaona watamkubali kwa kutumia hela zake
6. Aache kumnyamazisha Mnyika kuongea ukweli wa kutakiwa aondoke au ashitakiwe haraka sana kwa sababu ya ufisadi aliofanya
7. Atambue kuwa viongozi wameanza kuona kama kirusi juu ya maslahi yao.
Kwa maana moja au nyingine, hatumuhitaji tena kwenye chama chetu. Kwa ujumla 2020 tutataka mtu huru na asiyetuhumiwa kwa lolote katika maisha yake.