Lowassa aitikisa Meatu

Ungeanza na picture kwanza!!!!!!!! ili tumuone Rais wetu na jinsi wasukuma wanavyomkubali huko village maan ccm ilishawazurumu sana hasa enzi za shirecu pamba ilikuwa inachkuliwa kwa mkopo ambao hadi mwaka upite ndo pesa zije na wengine walikuwa wanakufa bila kuziona; kwa hiyo wanahasira ile mbaya na sisem chama cha cha majangiri: Mabadiliko LOWAAAAAAAASSSAAAAAAA MABADILIKO & MABADILIKO LOWAAAAAAASSAAAAAAAA ndo rais jkm alie tuuuuu!! na tutalinda kura zetu kwa nguvu zote hakuna kwenda nyumbani mpaka hesabu ikamilike
 
Pamoja na yoote, meatu yetu tuna mbunge wa cdm but uyo lowasa fisadi asituletee wingu magufuli atatatua shida zetu
 
Last edited by a moderator:

Lowasa hawez hata kushika maiki
Atawezaje kuitikisa Meatu

Uharooo was geita
 
je jenero nyanke karejea!!!!? maana waongosisiem walituaminisha atalejea leo (yaan jana) sasa kisharipoti au? isije ikawa kama ya guvana blali maana na yeye alienda usa kwa ziara ya kikazi hadi leo haja appear cjui ni ziara ya millenium? "mtu akikana hadharani kuwa hana kikohozi na huku anacho, basi kikohozi chenyewe kitamuumbua wakati wowote maana hakina uvumilivu hata kidogo"
 
Mafisadi wamejaa Bandarini. Hata Magufuli anawaona ila wengine mnajifanya hamuoni. Kweli natamani Magufuli wakati mwingine na kupenda masifa kwake aje hapa awatie BAKORA wote wenye akili mtindio bila kujali vyama wanavyotoka.


Hili fisadi la kazi gani.
 
hapana hawamtaki kabisaaa yaani kama kuna sehemu pombe ataangukia pua basi ni kwa wavuvi coz alishawachomea nyavu zao kwa ukurupukaji wake mie naona atakuwa rais wa wapiga push up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…