Lowassa aitikisa Meatu

Lowassa aitikisa Meatu

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
Mgombea urais kwa tiketi ya chadema Lowassa anapachimba meatu mda huuuu.

Kabla ya hapo kabla ya hapo alihutubia mkutano mwingine wa hadhara katika jimbo la Kisesa.

Picha zitawajia pundeee, ni mafuriko hatari.

update :

amemaliza kuhutubia ndio anaondoka anasubiriwa mkutano mwingine mjini singida
 
Weka picha za ukweli tuthibitishe usiweke zile za Conakry.
 
meatu ni jimbo la meshack oporukwaa anasubiri kuapishwa tuuu
 
Meatu walishachagua upinzani siku nyingi sio mahali pa kutoa jasho watani zangu wakiamua wameamua
 
Mgombea urais kwa tiketi ya chadema Lowassa anapachimba meatu mda huuuu.

Kabla ya hapo kabla ya hapo alihutubia mkutano mwingine wa hadhara katika jimbo la Kisesa.

Picha zitawajia pundeee, ni mafuriko hatari.

Masikini makomeo
 
Back
Top Bottom