Lowassa aikacha Karatu

Jana alikuwa kawe, leo babati, hizi kampeni za chopa mbona ka utalii wa ndani? Hapo mvua hazijaanza kunyesha anatupungia akiwa angani, mwaka huu kazi tunayo.
 
Weee,aende kwani hajipendi,na kule kuongea kwake kama anatafuna mua si ndo mdomo ungekuwa zege kabisa

Nmeona clip moja ya lowasa
Asee tumhrumie huyu mzee

Yaan amefikia hatua ya kupitiliza jukwaa
Kqma usipomshka
Anawatizama tu anaondoka haongei na mtu
Dah

Too much

Operation kumpumzisha lowasa

Viva magufuli viva
 
leo ilikua
mto wa mbu
mangola
babati

Lowasa anakujua wewe. # hapa ni kazi tu. Tazama lowasa anachukia umaskini na jimboni kwake je? fake design.
 

Attachments

  • 1443818876664.jpg
    36.4 KB · Views: 192
Lowasa anakujua wewe. # hapa ni kazi tu. Tazama lowasa anachukia umaskini na jimboni kwake je? fake design.

Matanzania mengine majinga kwel
Yaan yanadanganywa na bwana yule aitwaye ngoyai kwamba atamaliza nyumba za majan zote kwa mda wa miez miwili mara tu akiingia madarakan
Wakat amekuwa madarakan kwa miaka 39
Na jimbon kwake nyumba za majani ndio usiseme
Nyingiiiii

Amka mtanzania
Magufuli anatosha
Atatuvusha
 
Hawezi kukanyaga karatu.walichomfanyia Dr yeye na mbowe hatuwezi kusahau.
 

Siyo karatu tu ambako kura za huko amezikosa sema mbeya, mwanza, kilimanjaro mjini, arusha maana kote huko hajaenda
 

Umeona eee?
 
Fisadi huyo anaujua mziki wa karatu

Vpi mbeya makofuri atarudi tena kuomba kura? Kwa karatu subiri uone nyomi na mapokezi ayakayo yapata ndio utaanza kutumia akili badala ya masaburi
 
Akikanyaga karatu wanamla kichwa walah

Ni sawa na sumaye kukanyaga kilombero alikoiba mashamba
Au ulanga alikokamatwa na meno ya tembo

Hivi ile meli ya kinanaa iliyokamatwa na meno ya tembo ikisharudishwa tanzania?
 
Umelipwa 20,000 yako ya kuzimia kwenye mikutano ya lowasa?

Una week tatu tu za ajira

Ccm labda mkawe viongozi wa mafisi tu ila kwa kuwaongoza watanzania ndio mko pembeni hakuna wa kuwapa kura
 
Huyu mzee hana kumbukumbu

Ni lin lowasa amefuata ratiba?
Juz alikuwa manyara
Jana dar
Leo mto wa mbu

Anarukaruka tu
Ndo kutapatapa kwenyew huko tunakokusemea.

Viva magufuli viva

Makufuri yatabaki maghalani tu na lowasa atakuwa kiongozi wa watanzania
 

Attachments

  • 1443830019535.jpg
    47.9 KB · Views: 134
Acha kihere here wewe utaolewa wewe kampeni zinafuata ratiba ya tume ya uchaguzi watu hawafanyi kampeni kwa kukurupuka angalia ratiba ya UKAWA wewe ssm fisiem siyo unaropoka tu kama ngedere jike

Liambie gamba hilo linaacha kunawa miguu na kulala kwenye teremka tukaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…