Lowassa aikacha Karatu


Hoja nyepesi,hujamwelewa mwandishi,au ndo viroba
 
Hoja gani hapo?

Uzi ukikosa wachangiaji mnaurudia mara kibao mpaka inachosha.

Mods mnakazi mwezi huu ......

Propaganda season kamanda...hata ratiba yetu hawana..... They just rely on prediction.

Leo ilikuwa zamu ya Babati but those propagandists wamefunga macho na Akili iko locked ki-ccm.
 
hoja nyepesi,hujamwelewa mwandishi,au ndo viroba
ww kama una elewa siunge andika kabla ya mwenzio huyo mafundisho ya komnyo ya kwanza , nataka mtoa habari ajieleze akishindwa niweke uwazi na anihakikishie kujitoa jf, kwa kua unajifanya mjuaji namuacha mwenzio anayehitaji mafundisho nakutaka sasa ww sijui ndio mwalimu wake toa majibu ukishindwa ww na mafundisho shut up and run out of jf
 

kweli jeikei anamktesa pombe
 

Soma ratiba ya ukawa vizuri, wapo strategic! Unataka kutuaminisha pia kuwa duka mbovu, arusha mjini, ngaramtoni, usa river alipopita bila kufanya kampeni ni ngome ya silaa? .hii ni strategic battle, 3 combination 3, 4x2, 1x2x3.....
 
Mleta mada angalia zaidi ratiba ya Magufuli, achana na ya Lowassa kwani wewe na magamba wenzako hamna ratiba yetu na huitaji kuwa nayo...magamba nyie.
 
Weee,aende kwani hajipendi,na kule kuongea kwake kama anatafuna mua si ndo mdomo ungekuwa zege kabisa

Ahahahahaa anaongea kama mtoto anayejifunza kuongea hana nguvu kabisa
 
Acha kiherehere we kenge
 
Kwa hiyo unataka afanye kampen maeneo kum kwa cku.Leo kahutubia maeneo manne au ulitaka lazima aende karatu
 
Karatu hawataki ujinga kabxa, wanamisimamo co kam viongoz wa chama fulan wanaoramba matapishi yao wenyew
 

Acha kihere here wewe utaolewa wewe kampeni zinafuata ratiba ya tume ya uchaguzi watu hawafanyi kampeni kwa kukurupuka angalia ratiba ya UKAWA wewe ssm fisiem siyo unaropoka tu kama ngedere jike
 

Naiona njia ya magufuli kuingia ikulu ikizidi kuwa nyeupeeeeeeee
 
Labda ratiba yako ndio inasema alikuwa aje Karatu.... Ila kama una ratiba sahihi hii post yako ni ya ovyo

Huyu mzee hana kumbukumbu

Ni lin lowasa amefuata ratiba?
Juz alikuwa manyara
Jana dar
Leo mto wa mbu

Anarukaruka tu
Ndo kutapatapa kwenyew huko tunakokusemea.

Viva magufuli viva
 
Kwa hiyo unataka afanye kampen maeneo kum kwa cku.Leo kahutubia maeneo manne au ulitaka lazima aende karatu

Akikanyaga karatu wanamla kichwa walah

Ni sawa na sumaye kukanyaga kilombero alikoiba mashamba
Au ulanga alikokamatwa na meno ya tembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…