Kwanini havai gwanda lakini!
Safi sana Lowassa wape za uso!!!!! Babu akisusa sisi tunasonga mbele tuu
"Ndugu wajumbe hakikisheni watu wanapiga kura masuala ya Nec kutangaza mshindi niachieni mimi", EL.View attachment 273359
Hatimaye Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema/UKAWA ndugu Edward Lowassa ahutubia baraza Kuu la Chadema
Katika hotuba yake Lowassa amesisitiza kuwepo na mshikamano na maelewano ndani ya chama kuelekea uchaguzi mkuu,huku akiwahakikishia wajumbe kuwa ushindi ni "lazima" maana mbinu na njia za "adui" zinajulikana
Magwanda yake bado yako Uingereza yanaandaliwa,,Hayo ni Rais ajae hawezi kuvaa hayo magwanda yenu ya kimachinga
Unajua hili swali kila asie na maono ya mbali analiuliza lakin ngoja nikujibu wewe ukawaambie na wenzako...LOWASSA ameingia upinzan kupitia CHADEMA lakin ukumbuke kwa mujibu wa vyama vyote vi4 kufanya maridhiano hvyo kuegemea upande wa CHADEMA pekee kwa kuvaa GWANDA ni kuonyesha hali ya kuweka rahani micmamo ya wanachama wa vyama vingine..!!MBOWE NA LOWASSA wana BUSARA sana hvyo wametaka LOWASSA awe kawaida kabisa maana soon atakabidhiwa jukumu la kuviwakilisha vyama vi4 hvyo ni lazima awe negative kwa maslahi ya MUUNGANO vyama na watanzania kwa ujumlaKwanini havai gwanda lakini!
ndo nashonakwanini havai gwanda lakini!
Hivi hajashona gwanda tu hadi leo
Chadema ndo imejiunga na Lowassa, kama ilivo 4U Movement, team Lowassa, Umoja wa Boda boda, Jukwaa la wahariri, MOAT sasa atavaa Sare ngapi?Kwanini havai gwanda lakini!