Lowassa agonga Mwamba

Kadi Ya Kupigia Kura Bila LOWASA=0.0000000000000000..........................................................
LOWASA ndie Shujaa Pekee Mwenye Uchungu Na nchi Hii, Hivyo Anafaa Kuwa Rais Wetu Watanzania!
 
Ndio ccm imewafikisha wanamwonyesha Lowasa walivyochoka. Bila mabadiliko hapo hamtoki mmedanfanywa mpaka mmevia
 
Ndio ccm imewafikisha wanamwonyesha Lowasa walivyochoka. Bila mabadiliko hapo hamtoki mmedanfanywa mpaka mmevia

What changes are you looking for?
 
Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.

Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi

Kwa utamaduni wa wapi? Sijawahi sikia kuwa katika jamii za kiafrika kuwa kumuinulia kiongozi kiatu ni balaa. Bali kwa waingereza/wamarekani ni kumrushia kiatu ndiyo balaa kwa imani yao.
 
Kwa utamaduni wa wapi? Sijawahi sikia kuwa katika jamii za kiafrika kuwa kumuinulia kiongozi kiatu ni balaa. Bali kwa waingereza/wamarekani ni kumrushia kiatu ndiyo balaa kwa imani yao.

Wewe Kapi nini umesha sikia
 
Thread za kipumbavu namna hii kwanini Mods mnafumbia macho??
 
Hao ni machinga wanamuonesha lowasa jinsi gani ccm imewanyanyasa
 
Wewe Kapi nini umesha sikia

Kwa kuanzisha na kuzijibu wewe mwenyewe unaongoza. Sijui kwa propaganda za uzushi na uongo kama utafanikiwa. Bado tupo naye hadi siku ya kuapishwa kwake.
 
Thread za kipumbavu namna hii kwanini Mods mnafumbia macho??
Ukiona ya kipumbavu unakausha unawaachia wenzio. YA kipumbavu kwako kwa mwingine inabamba mbaya. Tuvumiliane tu kwani October siyo mbali ati!
 
kampeni zikiisha maktieni tiketi mapema ya kwenda kutibiwa ujeruman anakoendaga maana yatajitokeza na magonjwa mengine mapya ... #NA_BADO
 
Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.

Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi

Kweli nimeamini wewe #HAMNAZOKABISA yani ata kuona hauoni KUWA HAO NI MACHINGA(WATEMBEZA VIATU VYA MTUMBA) NA WANAMABEGI YENYE VIATU MIGONGONI MWAO,HIVYO VIATU WALIVYOSHIKA MIKONONI NI SAMPLE KWA WATEJA LAKINI KWENYE KUSHANGILIA HAWAWEZI KUVIWEKA CHINI MAANA VITAIBIWA HIVYO INABIDI WASHANGILIE NAVYO VIKIWA MIKONONI WANAPONYOOSHA MIKONO JUU!
 
Kadi Ya Kupigia Kura Bila LOWASA=0.0000000000000000..........................................................
LOWASA ndie Shujaa Pekee Mwenye Uchungu Na nchi Hii, Hivyo Anafaa Kuwa Rais Wetu Watanzania!

Ila mnasikitisha bira ukiri unalipwa kuandika ----- kama huu kuliko useme unaandika kwa dhati.
 
Kadi Ya Kupigia Kura Bila LOWASA=0.0000000000000000..........................................................
LOWASA ndie Shujaa Pekee Mwenye Uchungu Na nchi Hii, Hivyo Anafaa Kuwa Rais Wetu Watanzania!
Kesha gonga kisiki. Ni wa kumuombea tu sasa.
 
Unazungumzia Kama mlivyowapa fedha Wale vijana wa mbeya Magufuli alipoenda?
 
Vijana waliokosa matumaini baada ya CCM kuwadanganya kuwa kutakuwa na maisha bora kwa kila Mtanzania.Mabilioni ya Kikwete yaliishia kwa wake wa Mawaziri na Wabunge wa CCM!
 
Vijana waliokosa matumaini baada ya CCM kuwadanganya kuwa kutakuwa na maisha bora kwa kila Mtanzania.Mabilioni ya Kikwete yaliishia kwa wake wa Mawaziri na Wabunge wa CCM!
Hivi nyie UKAWA mnapenda sana bure. Yaani shule zote muende bure. Hospitali bure. Hii bure itawafikisha pabaya sana nyie.
 
Lowassa anawachanganya hadi wanashindwa kujitambua, kwa mfano ivi hii picha ni kwamba anashangiliwa ila siyo kuzomewa kama alivoiongelea hapo
 
Pia naona kila mtu anamzungumzia sana lowassa hii inaonyesha ni jinsi gani anakubalika na watu wengi zaidi
 
Hao ni wamachinga wanamshangilia wapo kwenye shughuli zao kiukweli hawawezi kuweka viatu chini wameamua wamshangilie tu na viatu vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…