Lowassa agonga Mwamba

Vijana wa chadema mnaanza kula mlichokipanada sasa na kumbuka kipindi cha Zitto mlianza kuleta vipropaganda kama hivi ,KWA kutumwa vijana wakamfanyie uhuni ZITTO,mkasema hao ni vijana halali wa cdm ,sasa kwa nin sasa msikubali tu hao ni wafuas halali wa Cdm kwa nin mnaamin kuwa hizo ni propaganda za CCM
 
photo shop!
MTAFANYA KILA AINA YA UPUUZI LAKINI HAMTAFANIKIWA LOWASSA NI GWIJI <hivi MTU akiphotoshop picha then uka I screenshot huwezi kufungua mashtaka>?
 
CCM kwa namna moja au nyingine wameshidwa kwa hoja sasa wanaanzisha vurugu
 
Mimi nakwambia dakika za mwisho watawatumia wake zao muwatongoze wakati mnawagegeda wawafumanie wadai mmewabaka mfungwe miaka 30 na kura msipige.Ndio mbinu pekee waliyobaki nayo.
 
Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.

Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi

Akili yako imejaa tope kweli,, hiyo picha hata ukiwapelekea lumumba watakuchapa vibao kwa kuwadanganya...
 
Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.

Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi
Heheheee! Jamani, hao ni machinga wauza viatu. Huoni wote wana mizigo ya viatu migongoni kwao?
 
Akili yako imejaa tope kweli,, hiyo picha hata ukiwapelekea lumumba watakuchapa vibao kwa kuwadanganya...
Next try to consult physicians, it seems you are not well.
 
Mtapinga sana mwaka huu, lakini kilio kamili ni October 25 siku ambayo mtabebwa na ambulance kuelea hospitali za CCM.

Nilitaka nipite bila kucoment, upeo wapo mdogo sana Mkuu. Hakuna hospitali inayoitwa ya CCM, too low!!
Huko shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Ccm ni waongo sana kwasasa sio watu wakuaminika tena hizi propaganda za kitoto zina mwisho wake
 
Jifunze kutafsir Ishara. Ndio maana mliitwa Malofa.

Mbona unazunguka tu?Nimekwambia lete tafsiri wewe unayejua!Unahofia nini au unafata mkumbo tu wala hujui chochote?
 
[h=2]Mji Wa Mpanda wazizima, Lowassa asimamisha shuguli za mji wote[/h]
Huyu jamaa sasa amekuwa tatizo.. Hakuna namna nyingine acha aende ikulu tu

[h=2]Mji Wa Mpanda wazizima, Lowassa asimamisha shuguli za mji wote[/h]
Huyu jamaa sasa amekuwa tatizo.. Hakuna namna nyingine acha aende ikulu tu

Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.

Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi
 
Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.

Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi

Hao machinga wako mzigoni wanamshangilia rais wao, we ulitakaje kwani
 
Dah yaani resolution ya rais mtalajiwa na hao.walovaa viatu ni.tofauti kabisa....dah MBONA MNAANGAIKA SANA??

KIFO CHA NYANI MITI YOTE HUTEREZA KWELI DAH.

We noma, kweli ni picha mbili tofauti kabisa.
 
Hivi nani kagombea Urais kwa tiketi Ya CCM na mgombea mwenza anaitwa nani? Maana mitandaoni ni Lowasa na Babu Duni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…