Lowassa afunguka miaka miwili nje ya CCM

Lowassa afunguka miaka miwili nje ya CCM

“Yapo mambo mazuri anayofanya Rais Magufuli, aungwe mkono. Na kwa kiasi kikubwa anafanya mazuri, lakini haya hayajatoka mbinguni, bali ni wajibu wake,” alisema Lowassa.

“Isionekane kama ni salamu kutoka mbinguni, ni wajibu wake kama Rais. Kazi ya Serikali ni kutoa huduma, ni kujenga shule, ni kujenga hospitali. Ndiyo kazi ya Serikali, kwa hiyo watu wasihesabu kuwa ni hisani.

“Wamefanya kazi yao, kwa kweli nawapongeza, lakini wasionekane wamefanya hisani. Kazi za Serikali zote duniani ni kuleta maendeleo kwa watu au kuandaa mazingira ya kuleta maendeleo.”

Lumumba wote wanatakiwa walielewe hili swala...
Na wananchi wa kawaida pia.
 
LA kujutia analo kwa nafasi alizoshika toka Mdogo alitakiwa baada ya kuacha uwaziri mkuu akae kimya asiwe active kwenye siasa ili awaachie jina jema wanae na wajukuu waweze kupewa nafasi Kama watoto wa jomo Kenyatta ,jaramogi odinga george bush, Ali Hassan Mwinyi, sokoine nk kawaharibia jina watoto kiasi kuwa mtu kuwa na jina lowasa mwisho unaonekana kibaka tu na huna hadhi. lowasa kaua jina kumwa la ukoo wa Lowasa. Heshima ni jina sio pesa
Watoto wa Lowassa siyo omba omba kama watu wa Pwani, ng'ombe wewe.
 
Jaribu kufikiri jee maswali kama hayo angepewa dereva wa Lori majibu yangekuwaje? yule ambaye hata mkewe anajuta kuongozana naye mikutanoni kwani hayakawii kumtoka maneno ya ajabu utadhani kameza betri iliyochuja?
Yule anashida kichwani
 
Back
Top Bottom