Lowassa Afunguka Mazito Kuhusu Wanachama Wanaofukuzwa CCM

Lowassa Afunguka Mazito Kuhusu Wanachama Wanaofukuzwa CCM

Kutokubali kuandika ukweli kuwa Lowassa alijiuzulu uwaziri mkuu kwa kuhusishwa na kashfa ya Richmond kunaficha mengi. Kama watu wanaandika uongo kuwa Lowassa alistaafu uwaziri mkuu maana yake ni kuwa huwa wanaandika uongo mwingi sana kuhusu chama chao na viongozi wake. Cha ajabu CHADEMA ndio walikuwa wakisisitiza kuwa Lowassa awe anakuwa addressed properly kuwa ni waziri mkuu aliyejiuzulu au kufukuzwa ila mara baada ya Mzee Lowassa kukinunua CHADEMA gear imebadilika angani na waliobaki CHADEMA wanatamka kuwa ni waziri mkuu mstaafu. Dr. Slaa asingekubali uongo wa dhahiri kama huu ndio maana akajiondoa mapema.

kwa kumbukumbu sahihi ni KWAMBA LOWASSA HAJAWAHI KUSTAAFU UWAZIRI MKUU bali ALIJIUZULU au KUFUKUZWA NA BUNGE KWA KASHFA YA RICHMOND. USIPOTOSHE HAPA WEWE BINTI
 
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amewapa neno wanachama wa CCM wanaotaka kufukuzwa ndani ya chama hicho wakituhumiwa kumuunga mkono.

Akiongea hivi karibuni katika kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika jijini Mwanza, Lowassa aliwasihi watu hao kujiondoa CCM na kujiunga na Chadema kwani kuna maisha mazuri zaidi ndani ya chama hicho kikuu cha upinzania.

“Lakini hivi karibuni kuna utaratibu wa kuwafukuza kwenye chama watu ambao waliniunga mkono. Wanafukuzwa wanaambiwa ‘ondokeni mfuateni Lowassa’.

"Nasikia kuna mipango mikubwa zaidi baada ya mwezi wa sita atakapokabidhiwa Rais Magufuli… kuna mipango mikubwa zaidi ya kuwaondoa kwenye chama,” alisema Lowassa.

“Sasa mimi nawaambia kwa niaba yetu. There is life outside CCM, nawaambia tena kwa ajili yenu, waje Chadema kuna maisha mazuri tu hapa. Wasibaki huko wananyanyaswa, wanabezwa wanafanya nini… waje tushirikiane tufanye kazi,” aliongeza.

Lowassa ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu alieleza kuwa CCM hivi sasa wanaumia kwa sababu kuondoka kwake na kujiunga na Chadema kuliiongezea nguvu kambi hiyo ya upinzani na kupunguza ruzuku kwa kiasi kikubwa kwa chama hicho tawala.
Craaap!
 
ccm wanajifariji tu lakini ukweli chama kina wenyewe, kama waliweza kurithisha nafasi za ubunge kwa kina KOmbani, na Kigoda, kiana Ntimizi na wengi tu waliokuwa nje ya siasa za maeneo waliyogombea, watoto hao wa marehemu walikuwa wanaishi jiji la Dar, viongozi wa vyama huko walikogombea wakaonekana hawafai wakaletewa watoto wakapitishwa na kura wakawapa, huu ni udhaifu mkubwa sana, tena ni dharau sana kwa watu kuandalia maslahi watu wa familia fulani, kwa jinsi hiyo kweli watoke tu kuna maisha nje ya ccm.
 
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amewapa neno wanachama wa CCM wanaotaka kufukuzwa ndani ya chama hicho wakituhumiwa kumuunga mkono.

Akiongea hivi karibuni katika kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika jijini Mwanza, Lowassa aliwasihi watu hao kujiondoa CCM na kujiunga na Chadema kwani kuna maisha mazuri zaidi ndani ya chama hicho kikuu cha upinzania.

“Lakini hivi karibuni kuna utaratibu wa kuwafukuza kwenye chama watu ambao waliniunga mkono. Wanafukuzwa wanaambiwa ‘ondokeni mfuateni Lowassa’.

"Nasikia kuna mipango mikubwa zaidi baada ya mwezi wa sita atakapokabidhiwa Rais Magufuli… kuna mipango mikubwa zaidi ya kuwaondoa kwenye chama,” alisema Lowassa.

“Sasa mimi nawaambia kwa niaba yetu. There is life outside CCM, nawaambia tena kwa ajili yenu, waje Chadema kuna maisha mazuri tu hapa. Wasibaki huko wananyanyaswa, wanabezwa wanafanya nini… waje tushirikiane tufanye kazi,” aliongeza.

Lowassa ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu alieleza kuwa CCM hivi sasa wanaumia kwa sababu kuondoka kwake na kujiunga na Chadema kuliiongezea nguvu kambi hiyo ya upinzani na kupunguza ruzuku kwa kiasi kikubwa kwa chama hicho tawala.
Hali ndiyo hiyo kuna ukata mkubwa ndani ya ccm kwani kiasi kikubwa cha ruzuku kimeongezwa cdm kwa sababu ya kura nyingi za urais na wa bunge wengi
 
Huyu babu sasa apumzike, CHADEMA muoneeni huruma, ili afya yake itengemae zaidi, Lowasa acha siasa muda umesha kuacha.
 
Huyu babu sasa apumzike, CHADEMA muoneeni huruma, ili afya yake itengemae zaidi, Lowasa acha siasa muda umesha kuacha.
Unajidanganya kudhani Lowassa atapumzika kabla ya kufa. Baada ya kufanikiwa wote waliowahi kumwita fisadi kina Lissu, Mnyika, Sumaye n.k hawapati ukatibu mkuu CDM kilichobaki ni yeye na mafisadi wenzie kishika hatamu za uongozi. Kwanza kwa vile chama kakinunua keshaamurisha uchaguzi ufanyike 2008 badala ya 2009 ambapo yeye atakuwa M/kiti na kina Lissu, Mnyika n.k watatoswa moja kwa moja na kina Mgeja na wengine waliotoka CCM watapata vyeo vyao ndani ya CDM ya Lowassa.
 
LOWASSA AWE RAIS??? LABDA ARUDI CCM. UPINZANI HABARI YA IKULU LABDA 2050!!!!
 
Waziri mkuu mstaafu na mgombea urais chadema 2015.




Lowasa asset.jpg



Akili inagoma.jpg


CCM Mpasuko.jpg
 
Back
Top Bottom