LOWASSA Aendelea kugezea CCM: Sasa anamkopia KINANA

Mr Chin

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,625
1,024
KINANA.jpg
 
Kiukweli mbinu zake ni zilezile za ki ccm ambazo zimemleya tangua akiwa mdogo,Samia akienda hospital ya Huruma kusikiliza kero na yeye anataka kwenda hukohuko,watu wakifanya mkutano jangwani na yeye anataka kwenda hapohapo

Huyu jamaa amelelewa katika misingi ya CCM na ndio maana hata agenda zake ni zilezile za CCM
 
Kumbe mpaka Mama Samia anamkopia!!!!!
 
Kiukweli mbinu zake ni zilezile za ki ccm ambazo zimemleya tangua akiwa mdogo,Samia akienda hospital ya Huruma kusikiliza kero na yeye anataka kwenda hukohuko,watu wakifanya mkutano jangwani na yeye anataka kwenda hapohapo

Huyu jamaa amelelewa katika misingi ya CCM na ndio maana hata agenda zake ni zilezile za CCM

Magufuri anataka mabadiliko..teh..teh..teh...M4C nae magu m4c teh teh..obama kapiga push up nae kageuza sera ya chama....teh..teh...ni kukosa ubunifu au?ccm mna kazi.kubalini kushindwa tuu hamna namna.
 
Back
Top Bottom