Lowassa achomoza Kamati Kuu ya CCM Dodoma

Wewe nyumbu huwezi kujua kiasi gani CCM wanakosa amani kwa ajili ya Lowassa wewe endelea kushona viatu hapo karibu na ofisi za lumumba
Nyumbu ni wafuasi wa CHAGA-DEMA
Kumbuka hilo
 
Hata siwaelewi mnachozungumzia hapa Huyu TUPA TUPA na vijana wa CDM, who is lowassa?? Yaani watu wasiogope kumkata waogope akiwa mtaani anazurura zurura tu. JK alishamaliza ile picha pale dodoma na kijana wake NAPE akatutangazia majina matano yamekamilika kutoka kwenye mfuko wa Mwenyekiti, nyie bado mnaota?, pale ndio nilipojua eeeeeh kumbe Lowassa ni mtu mdogo sana ndani ya CCM? Watoto wa mjini hawa akina JK sio wakucheza nao kabisa , ujue uzuri wa hawa watu wa pwani aka wazee wa mwambao hata kama unamkuta hana hela ila anaweza akafanya yake mkashangaa, au hamjui uhuru wa nchi hii umeletwa na hawa waswahili na kabobo zao, muulizeni MANJI alivyotolewa jasho na vile vizee vya Gerezani enzi za Yanga asili vs Yanga kampuni, MANJI alitulia na hela zake...

JK UMETUKOSHA SANA KWA YALE ULIYOYAFANYA PALE DODOMA, JAMAA HAWAAMINI MPAKA LEO, MKWERE KAMA ULIFANYA YAKO...UZALENDO KWANZA.
 
Kwani Obama ni mwenyekiti wa Democratic? Sasa kama Magufuli mnataka kumpa uenyekiti chama kitaisimamia vipi serikali? Upuuzi huu upo Tanzania peke yake.

Hivi huyu Uhuru Kenyatta naye ni mwenyekiti kwenye chama kilichompa ugombea urais?
Nenda kenya
 
Wewe vuta vuta mjinga sana. Marehemu lowasa ni ma.v.i yaliyokauka. Hayanuki tena
 

Hakuna namna unaweza kumtetea Lowassa, ila ni kweli ndani ya System ya nchi hii kuna wizi na ufisadi uliofanyika kwa kiasi kikubwa..
Unapotaja suala la kuitoa CCM huwezi kumtumia Lowassa, Sumaye,kingunge,Masha,Mwapachu nk eti ndio watakuwa mbadala ukishaitoa CCM.. bro ni bora ukaniambia niingie vitani kuliko kutetea hicho unachojaribu kutetea kwa akili yako ya kichwani na ushahidi wa kusoma kwenye magazeti..
Lowassa & Co ni sehemu ya matatizo ya nchi hii, hakuwahi kuisema vibaya CCM akiwa ndani ya CCM ni bora Anko Magu mara nyingi amekosoa na anakosoa akiwa ndani ya CCM..
 

Lowassa angekuwa mzalendo na anatupenda watanzania pale alipoona watu wanataka kutuibia angeshitaki kwa wenye mali watanzania, na angejiuliza palepale kuthibitisha usafi wake, na angetuambia ubaya wa CCM na JK kabla ya kukatwa. CCM inakuwaje mbaya baada ya yeye kukatwa? Hizi ni sinema kama sinema nyingine tu.
 
Ukimya au kelele za Lowassa hazina relevancy yeyote kwenye siasa za leo...this is a paradigm-shift...watu wanataka maendeleo sio kelele kwenye majukwaa

Maendeleo ya sukari kupanda bei na kukosekana madukani? Ccm chezeni weee lkn kifo chama hicho chakavu kinakuja...just the matter of time.
 
CCM inatisha nimekuwa nikifutilia viongozi kadhaaa wa ccm ngazi za juu wameshaanza kumwondoa Kikwete uwenyekiti haraka sijui wanadhani atajisahaulisha
 
Hakukuwa na Ajenda ya Mtoto wao Mkubwa Le baharia alazimishwe kuoa??? maana umri unazidi kumpa kisogo
 
Siwezi kumpoteza muda wangu kumwelimisha kenge kama wewe endelea kushona viatu hapo lumumba mpaka mwisho wako utapofika
Nyumbu ni wafuasi wa CHAGA-DEMA
Kumbuka hilo
 
Vipi hakukuwa na maelekezo yoyote kuhusu upigaji wa pushup mara kwa mara?
 
naona watu bado mnajitahidi kumuongelea Lowassa mana watu tumesha msahau uyo. haya subilin 2020 mje kuzungusha mikono tena kwenye flyover ya ubungo na tazara.
 
naona watu bado mnajitahidi kumuongelea Lowassa mana watu tumesha msahau uyo. haya subilin 2020 mje kuzungusha mikono tena kwenye flyover ya ubungo na tazara.
 
Sioni km hii ni hoja alibebwa na kulelewa zamani
 
Ole Sendeka amekanusha. Kati ya habari hii na Taarifa ya Ole,kimoja ni hewa. Ha ha ha
 
Kwani Obama ni mwenyekiti wa Democratic? Sasa kama Magufuli mnataka kumpa uenyekiti chama kitaisimamia vipi serikali? Upuuzi huu upo Tanzania peke yake.

Hivi huyu Uhuru Kenyatta naye ni mwenyekiti kwenye chama kilichompa ugombea urais?
Thibitisha kauli yako na utolee mfano kuonyesha ni Tanzania pekee. Fanya research kaka kabla ya kuandika pumba. David Cameron ni Conservative Party Leader na waziri mkuu wa UK. China Rais ni Zi Jiniping ni kiongozi wa chama cha kikomunist na ana nguvu zaidi ya Rais HU. nimeweka mifano miwili ya west na east. nikosoe wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…