TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,878
- 5,765
Sababu? Kama ni hofu ya kutumbuliwa, Magu ni wa Watanzania na siyo wa CCM. Hoja yako hiyo hiyo i-reverse kama kura za siri zitapigwa ndani ya CHADEMA au kwa watanzania wote, LOWASSA ataambulia nini?Na kiukweli kabisa ukiacha misimamo ya chama na kuweka ya moyo, basi ukiitisha kura ya siri ndani ya hiyo Kamati Kuu kwa majina mawili ya Edo na Magu hakika Magu ajipata 30% basi ana bahati.
Teh teh teh!Ukimya wa aliyekuwa mgombea wa Urais wa UKAWA,Edward Lowassa umezua mjadala kwenye mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.Kikao cha Kamati Kuu kimefanyika jana hapa Dodoma.
Mjadala ulianza pale Mwenyekiti Kikwete alipochagiza maelezo yake ya chama kuendelea kufanya maandalizi ya chaguzi zijazo na kutobweteka. Mwenyekiti alisema kuwa Lowassa bado ana uungwaji mkono na nguvu ya kisiasa na hutumia ukimya kujijenga zaidi.
Mwenyekiti alionya kuwa Lowassa hakufika mwisho na chama chapaswa kuutazama ukimya wake wa kuchangia na kutoa hoja juu ya Serikali ya Rais Magufuli kwa jicho la tatu. Wajumbe wote wa KK walikubaliana na Mwenyekiti Kikwete.
Wakati huohuo,Rais Magufuli ameaswa kuwa 'mpole kiasi' atakapoukwaa uenyekiti wa taifa wa CCM mnamo mwezi Juni mwaka huu. Imesemwa kuwa wanachama wa chama cha siasa hutendewa mambo kwa upole ili wabaki chamani na kukijenga chama. KK imeunga mkono hatua za Rais na Serikali yake kutumbua majipu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
rudishen UDA kwa wananchTeh teh teh!
Naona Bavicha mmeamua kijifari na kujiliwaza.
Mkuu huyo Mzee Throw Throw (wa Pull- Push) ni pandikizi la Fisadi Lowasa siku nyingi, na si ajabu kesha fungashiwa kitu kidogo kuleta habari ambazo hazina mbele wala nyuma.Sasa Mzee Tupatupa hiyo ya kumjadili Lowassa ilikuwa ajenda yenu pia?Kuna ile kauli ya wale wapendao kuzungumzia watu na si Mambo yenye faida wanaitwaje vile....................Mwambie JK ameshatoka CCM asiendelee kumzungumzia Lowassa...............
Wewe panya mdogo kabisa unasema haya ilhali tembo na wenye chama chao hawapati usingizi juu ya huyo unayemkejeli.Ukimya au kelele za Lowassa hazina relevancy yeyote kwenye siasa za leo...this is a paradigm-shift...watu wanataka maendeleo sio kelele kwenye majukwaa
only in tanzaniaMkuu,lisilowezekana duniani hapa tanzania linawezekana.yaani ni mambo ya ajabu sana sasa ikitokea rais ndo mwenyekiti wa chama unatarajia nani atampinga hata kama akikosea?
Mzimu wa Lowassa unazidi kuwatesa, na hawatabaki salama hao!Ukimya wa aliyekuwa mgombea wa Urais wa UKAWA,Edward Lowassa umezua mjadala kwenye mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.Kikao cha Kamati Kuu kimefanyika jana hapa Dodoma.
Mjadala ulianza pale Mwenyekiti Kikwete alipochagiza maelezo yake ya chama kuendelea kufanya maandalizi ya chaguzi zijazo na kutobweteka. Mwenyekiti alisema kuwa Lowassa bado ana uungwaji mkono na nguvu ya kisiasa na hutumia ukimya kujijenga zaidi.
Mwenyekiti alionya kuwa Lowassa hakufika mwisho na chama chapaswa kuutazama ukimya wake wa kuchangia na kutoa hoja juu ya Serikali ya Rais Magufuli kwa jicho la tatu. Wajumbe wote wa KK walikubaliana na Mwenyekiti Kikwete.
Wakati huohuo,Rais Magufuli ameaswa kuwa 'mpole kiasi' atakapoukwaa uenyekiti wa taifa wa CCM mnamo mwezi Juni mwaka huu. Imesemwa kuwa wanachama wa chama cha siasa hutendewa mambo kwa upole ili wabaki chamani na kukijenga chama. KK imeunga mkono hatua za Rais na Serikali yake kutumbua majipu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Sio ukimwa wake, ameishiwa yule mzee kawa jogoo gonjwa anvoogea kama mtoto wa Kindergarten unadhani nani anamda wa kumsikiliza, amesoma alama za nyakati wacha ajikalie kimnya tu ndio salama yake.Lowassa bado ni mwanasiasa mwenye nguvu.Ukimya wake humpa heshima kwenye jamii
Lowasaahana madhara yoyote kisiasa na hata akigombea tena hawezi kushinda period. Usaliti wa baadhiya Wanachama wa CCM ndio ulimsaidia.Halafu kuna viumbe hapa wanambeza
He!!! Bado wanamhaha!!!!!!Ukimya wa aliyekuwa mgombea wa Urais wa UKAWA,Edward Lowassa umezua mjadala kwenye mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.Kikao cha Kamati Kuu kimefanyika jana hapa Dodoma.
Mjadala ulianza pale Mwenyekiti Kikwete alipochagiza maelezo yake ya chama kuendelea kufanya maandalizi ya chaguzi zijazo na kutobweteka. Mwenyekiti alisema kuwa Lowassa bado ana uungwaji mkono na nguvu ya kisiasa na hutumia ukimya kujijenga zaidi.
Mwenyekiti alionya kuwa Lowassa hakufika mwisho na chama chapaswa kuutazama ukimya wake wa kuchangia na kutoa hoja juu ya Serikali ya Rais Magufuli kwa jicho la tatu. Wajumbe wote wa KK walikubaliana na Mwenyekiti Kikwete.
Wakati huohuo,Rais Magufuli ameaswa kuwa 'mpole kiasi' atakapoukwaa uenyekiti wa taifa wa CCM mnamo mwezi Juni mwaka huu. Imesemwa kuwa wanachama wa chama cha siasa hutendewa mambo kwa upole ili wabaki chamani na kukijenga chama. KK imeunga mkono hatua za Rais na Serikali yake kutumbua majipu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Angalau leo umekiri, tena ni kilaza sq kabisa.Kwani katiba ya ccm inasemaje? Nielimishe mimi kilaza!