Lowassa achomoza Kamati Kuu ya CCM Dodoma

Naona umeamua kumpa promo Lowasa baada ya kuona amepotea kwenye siasa za Tanzania. Endelea kazi nzuri utalipwa zaidi
 
Kwa hiyo lile Zimwi aliloliweka kwenye Chupa linamuwinda mwenyewe???Nafikiria tu kwa sauti................Hakika aliyesema Chuki inakumaliza mwenyewe hajakosea,Mzee naona anajimaliza mwenyewe...............
Hivi yule Tatty aliyejitoa JF ni nani wako?
 
Matola kila chama kina taratibu zake, kuna siku utasema mbona mke wako hana Chupi nyeupe kumbe hapendi rangi nyeupe,




Jifunze kuwa mstaarabu,ustaarabu hauuzwi.Hivi ulikosa maneno mengine ya kuyatumia kufikisha hoja yako?Mtu mwenye hekima huchagua maneno ya kuongea na huwa mwangalifu asiwaumize wenzake kwa maneno yake.
 
Lowasa bado ni mwiba na ataendelea kuwapeleka puta ma ccm
 
huyu mzee anachokisema hapa sio kweli; anaandika tu mambo ya kufikirika yasiyo na uhalisia wowote ili kumfufua mzee aliyekwisha kisiasa
 
Kwani Obama ni mwenyekiti wa Democratic? Sasa kama Magufuli mnataka kumpa uenyekiti chama kitaisimamia vipi serikali? Upuuzi huu upo Tanzania peke yake.

Hivi huyu Uhuru Kenyatta naye ni mwenyekiti kwenye chama kilichompa ugombea urais?
inaonekana ni kinda ktk mambo ya siasa, kila chama kina katiba yake ambayo ndio huongoza chama, sasa uwez kucompare mambo ya ccm na mambo ya taifa jingine,
 
Mzee Tupa Tupa;CCM ni chama cha kupanga mikakati ya kushinda chaguzi au ni chama cha wakulima na wafanyakazi?
 
kwani ni lazima awe MWENYEKITI wa CHAMA CHAKE?
 
kwa mujibu wa katiba ya chama chake, ndio ni lazma awe mwenyekiti wa chama chake
Hakuna sehemu yoyote wala kifungu chochote katika katiba ya ccm kinachosema Rais ni lazima awe mwenyekiti wa chama, wengi ni makasuku mmekariri.

Nyerere baada ya kung'atuka Urais aliendelea kuwa mwenyekiti wa ccm mpaka pale alipoamuwa kustasfu, nyinyi mazezeta ndio mmejaa JF hamjuwi lolote kazi yenu porojo tu.
 
Kwani Obama ni mwenyekiti wa Democratic? Sasa kama Magufuli mnataka kumpa uenyekiti chama kitaisimamia vipi serikali? Upuuzi huu upo Tanzania peke yake.

Hivi huyu Uhuru Kenyatta naye ni mwenyekiti kwenye chama kilichompa ugombea urais?
Mkuu usilinganishe maembe na mahindi, hao democratic hatulinganishwi nao kwa jambo lolote lile, kwanza marekani hata kwenye kampeni huwezi kuwakuta watu wamevaa nguo za chama, watu wanashika bendera za taifa.
 
Wakubwa wa serikali wanamkubali sana Lowasa ila vibaraka wamegeuza jina Lowasa kama njia ya kupatia madaraka kwa kumkashifu, haya maneno ni mwiba mchungu sana kwa Makonda na vibaraka wenzake.
 
Hawawezi kumaliza vikao bila kumtaja lowassa mkuu.nguvu ya lowassa ni kubwa ndani na nje ya chama.
Na kiukweli kabisa ukiacha misimamo ya chama na kuweka ya moyo, basi ukiitisha kura ya siri ndani ya hiyo Kamati Kuu kwa majina mawili ya Edo na Magu hakika Magu ajipata 30% basi ana bahati.
 
Mzushi wewe, CCM hawana muda wa kumuongelea LOWASSA badala ya namna ya kumsaidia rais kutumbua majipu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…