Huwezi jua formula za chadema kwa sasa subilini sapliz kama ya 2010
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
Ndesamburo wa CHADEMA ambae ana uwezo wa kumuweka binti yake na mkwe wake kwenye viti maalum vya ubunge kupitia chadema, kaamuwa kuwachana na mgombea wa CHADEMA na kumpigia debe Lowassa.
Usifanye maskhara katika haya mambo.
huwezi jua formula za chadema kwa sasa subilini sapliz kama ya 2010
sent from my iphone 5 using jamiiforums
Not yet, sentensi halisi ni "JIWE WALILOLIKATAA WAASHI, LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI!"Confirmed.
maneno yametimia, "JIWE LILILO KATALIWA, LEO LIMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI".
......Maneno unayoyatoa na nikiangalia hiyo picha yako ulivyolala napata hisia kuwa kuna dume limejiegesha mgongoni kwako.Hela zenyewe za kwenda chalinze kwenye uchaguzi hamjapata wajerumani nao wamesitisha ufadhili mtajua zitto kuwa ni nani.
Not yet, mane halisi ni "JIWE WALILOLIKATAA WAASHI, LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI!"
Note neno "litafanywa!", kwa vile mpaka sasa bado halijafanywa, bali linapangwa kufanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!, ili uweze kusema limetimia, inabidi usubirie hiyo 2015 tulishuhudie jiwe hili likiwa limesimama ndipo tuthibitishe!, kwa hali ilivyo, na Sitta kwenye usukani huu?1.
Pasco
sk lowassa akiwa rais nitarud kwet kg kwa mguu.
Ukishaona mfumo huu wa kuridhishana nafasi zilizoachwa wazi katika mazingira ya kisiasa kuna kitu nyuma ya pazia, kama si fukiafukia basi nani zaidi.
Udalali kila kitu?. Kweli wa2 wamejipanga, mara makanisani, bodaboda na huu wa ss ni zaidiMkuu Pasco,
Kama imefika hatua sasa CHADEMA wana mmendea Lowassa hiyo ina maana wana matumaini kuwa akisimama tu, Ikulu yao.
Nilikuwa nafanya mjadala na vijana fulani wa BAVICHA na baadhi ya Wakereketwa wa CHADEMA. Wengi wao wamekiri kuwa kama CHADEMA ikimkosa Lowassa, basi ni kheri CCM wamsimamishe awanie nafasi hiyo.
Kwa mujibu wa maelezo yao, ni wazi kuwa Lowassa kwa sasa ndio tumaini la Watanzania walio wengi. Na naamini katika mechanism yetu CCM kuwa atapitishwa.
usipo wachafua viongozi wachadema huji sikii vizuri,kweli ww nijanga.unadhani chadema imekuja tu bila kujengwa nguvu na akina ndesamburo,na mbowe,kweli ww nijanga njaa itakufikisha mbali.
Confirmed.
Nadhani hilo neno hapo juu sio geni kwako. Hivyo nina imani unajua vizuri matumizi ya neno hilo, na utaweza kulihusisha na hii habari.
Wana Ukumbi,
Katika hali ambayo imewaacha wengi midomo wazi na baadhi kubaki kukuna vichwa. Ni baada ya kugundua kuwa CHADEMA kwa sasa hali ni tete na inasemekana wamekosa kabisa mgombea atakae peperusha bendera ya chama kwa nafasi ya urais.
Lakini pia CHADEMA hao hao wameonelea sio vyema kuingia kwenye uchaguzi wakiwa hawana mtu anae kubalika na Watanzania wengi. Hivyo imewalazimu watazame vyama jirani vina nini kama ilivyo desturi kwao.
Sasa hapa kwenye nini CHADEMA wamepata kutoka vyama jirani ndio penye maajabu. Sikuwahi kutarajia CHADEMA itaweza kuibuka na jina la Lowassa kama tunu kwao kwenye kuelekea uchaguzi.
Ina maana huyu Lowassa sio yule aliyeitwa fisadi!?
Huyu Lowassa leo amebadilika nini hadi agombaniwe na vyama kugombea katika nafasi ya urais?
Au ni ukweli kwamba Lowassa alisingiziwa kuhusu ile tuhuma na sio kweli kuwa ni fisadi.
Je, kama Lowassa ni fisadi, kwanini Watanzania wawe nae bega kwa bega kwenye movement zake za kuwania urais?
Kweli maneno yametimia, "JIWE LILILO KATALIWA, LEO LIMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI".
Mzizunguke mbuyu cha msingi nyie kateni jina lake pale dodoma ili muone mtifuano zaidi.CHADEMA kwa sasa hali ni tete na inasemekana wamekosa kabisa mgombea atakae peperusha bendera ya chama kwa nafasi ya urais.
Lakini pia CHADEMA hao hao wameonelea sio vyema kuingia kwenye uchaguzi wakiwa hawana mtu anae kubalika na Watanzania wengi. Hivyo imewalazimu watazame vyama jirani vina nini kama ilivyo desturi kwao.
Sasa hapa kwenye nini CHADEMA wamepata kutoka vyama jirani ndio penye maajabu. Sikuwahi kutarajia CHADEMA itaweza kuibuka na jina la Lowassa kama tunu kwao kwenye kuelekea uchaguzi.
Ina maana huyu Lowassa sio yule aliyeitwa fisadi!?
Huyu Lowassa leo amebadilika nini hadi agombaniwe na vyama kugombea katika nafasi ya urais?
Au ni ukweli kwamba Lowassa alisingiziwa kuhusu ile tuhuma na sio kweli kuwa ni fisadi.
.