MABILIONI HAYA ANAYOMWAGA LOWASSA HAPA DODOMA TAKUKURU MKO WAPI?
Wakuu Dodoma sasa inatisha Wallahi naapa tangu nizaliwe sijawahi kuona mabilioni ya pesa yakimwagwa kama njugu katika Mji huu wa Dodoma.
Leo nimemshuhudi Mpambe wa Lowassa hapa Rainbow pub Dodoma akigawa mabulungutu ya elfu kumi kumi kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu walioanza kuwasili Mjini hapa.
Huyu Bwana anaitwa Kivuyo almaarufu kwa jina la Baba T. Zamani alikuwa mfanyakazi wa Vodacom.
Jamaa ni mpambe wa kutupwa wa Lowassa ndiye aliyepewa jukumu la kumwaga mabulungutu kwa Wajumbe ili kuhakikisha Mzee Lowassa anakamata Ikulu ya Magogoni.
Katika jukumu hilo la kumwaga rushwa, ndugu Kivuyo anasaidiwa kwa karibu na mdada aitwaye Esther Boniface Moshi mwenye simu namba 0652395516 ambaye anaishi Tabata Jijini Dar es Salaam.
Jamani jamaa wana hela chafu hawa sijui wanazitoa wapi katika uchumi huu mbovu wa Kibongobongo.
Ntaendelea kuwajuza bila chenga kwa sababu nipo karibu na watu hawa na wananiamini sana,ila kwa maslahi ya taifa letu kamwe sitanunulika.