Habari hizi mpelekee JK na Nape Mnauye. Sisi tuna nini na Lowasa? Hivi umelipwa ngapi kumchafua Lowasa?? Elewa, fundi wa kuchafua hewa ni Lowasa, hajatokea tena mfano wake. Ohoooo. Mwambiye aliyekutuma kuwa Jamaa kameza OMO, kujiosha hutokea kwenyewe. Mmemshindwa na Richmond, hamumuwezi kwa bahasha.