BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,778
- 3,321
Mti wenye matunda Mazuri ndio unaorushiwa Mawe, watuhumiwa kibao wamepitishwa kwenye kula za maoni na haohao wanaomnyooshea vidole EL.
Kinachowasumbua ni chuki binafsi kwakuwa LOWASA ni kipenzi cha watu kwa mujibu wa kura za maoni na kwakuwa kahamia UPINZANI.
Angepitishwa CCM Huyo Hans Polepole usingemsikia akibweka,angeufyata.
Let EL realise his Dreams. kuna matajiri wakina Ridhwan hakuna anayewasema,is double standard