Labda kweli humjui...
Ila ndio huyo aliekusanya hao raia apo...!!
Alaf pia wala hutakiwi kumjua saaaaana maana wewe huwezi jilinganisha na hao raia woote hapo..
Ur nathiq Bro..
Nyomi ilikuwa ya kutosha kimahesabu ni kama 100,000 yaani wapiga kura wote wa Halima mdee lakini Je ,inaweza kuamua hatma ya wapiga kura 23millioni. Tuchanganye karata zetu vizuri.