Lowasa ukawa live..

Lowasa ukawa live..

mwack

Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Lowasa SAA ngapi anajitambuliaha ukawa? Kwani walisema Leo ndio penyewe au maneno tu wana jf?
 
Sio kupoteza mda... Humu ndio pa kujulia habari.. Kama status inakuboa ipotezee sio lazima kukoment... Wengne hatuna vyama Caz chama hakitanipa chakula kamwe.. We mid to know what's going on
 
Speed za chadema kumuwania EL zaelekea ukingoni maana kila kukicha wanabakia Subirini tunamtambulisha rasmi
Zilonga mbali zitendwa mbali
Imebaku hadithi tu
 
Lowasa SAA ngapi anajitambuliaha ukawa? Kwani walisema Leo ndio penyewe au maneno tu wana jf?


Lowassa hawezi kuihama CCM kwa vile utajiri wake wote ni wa wizi na hawezi kujitetea jinsi alivyopata hizo mali. Akitoka tu CCM, watamfilisi na hata ikiwezekana watamtia jela. Kumsubiri ni kujipotezea muda, CDM watafute mtu mwingine anayefaa au waamue kuunga mkono mgombea wa chama kingine anayevutia.
 
Naona kila siku wanasogeza siku.. Siasa kazi kwelkwel
 
Nahisi kuna watu humu ndani hawajielewi UKAWA si walisema mgombea mwezi wa nane. Sasa we we unataka atangazwe Leo kwa ratiba ipi.
 
Lowasa atahama tu Ccm...na kama kumfilic hizo Mali bc wataanza na Mh.jakaya mrisho kikwete
 
Back
Top Bottom