kijenge Senior Member Joined Mar 9, 2012 Posts 179 Reaction score 164 Mar 18, 2012 #1 Lowasa anavyosema yuko tayari kwa mapambano niyapi?kwani anataka rich mondi ilipwe bdo anataka uraisi 2015 bdo anatakiwa kujivua gamba sa2 hayo mapambano niyapi?au sioi aingie mjengoni?au mapambano ya kuendelea kutuibia.
Lowasa anavyosema yuko tayari kwa mapambano niyapi?kwani anataka rich mondi ilipwe bdo anataka uraisi 2015 bdo anatakiwa kujivua gamba sa2 hayo mapambano niyapi?au sioi aingie mjengoni?au mapambano ya kuendelea kutuibia.
MANGUNGO JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 1,536 Reaction score 354 Mar 18, 2012 #2 2015 cdm itakapo chukua nchi ndio tutajua yote.mwacheni aongee ni haki yake.
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,201 Mar 18, 2012 #3 Mapambano ya kwenda ikulu hata kwa kutumia damu za watz ila yeye atimize malengo yake ya kisiasa na kukidhi uroho wake wa madaraka.
Mapambano ya kwenda ikulu hata kwa kutumia damu za watz ila yeye atimize malengo yake ya kisiasa na kukidhi uroho wake wa madaraka.
kookolikoo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 2,800 Reaction score 694 Mar 18, 2012 #4 cha ajabu nini?? maisha ni mapambano kwa binadamu yoyote yule hata mlalahoi. kijenge said: Lowasa anavyosema yuko tayari kwa mapambano niyapi?kwani anataka rich mondi ilipwe bdo anataka uraisi 2015 bdo anatakiwa kujivua gamba sa2 hayo mapambano niyapi?au sioi aingie mjengoni?au mapambano ya kuendelea kutuibia. Click to expand...
cha ajabu nini?? maisha ni mapambano kwa binadamu yoyote yule hata mlalahoi. kijenge said: Lowasa anavyosema yuko tayari kwa mapambano niyapi?kwani anataka rich mondi ilipwe bdo anataka uraisi 2015 bdo anatakiwa kujivua gamba sa2 hayo mapambano niyapi?au sioi aingie mjengoni?au mapambano ya kuendelea kutuibia. Click to expand...