AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
LOWASA NA KAGAME ,kwa mtizamo wangu wanafanana sana kiutendaji, tofauti yao ni moja tu, kagame ni muuaji na lowasa si muuaji. ila kwa ari ya kuleta maendeleo, uchapa kazi, wanafanana kabisa. ndani ya mwaka mmoja aliokuwa waziri mkuu, lowasa alisababisha shule zote za kata ambazo watoto wamesoma zikajengwa. bahati mbaya sasa alipoacha tu na shule hizo zikafifia hadi leo hii zimetoa madudu. kama lowasa angeendelea kuwepo nakwambia hizi shule tunazofikiri ni za kata zingekuwa bora sana. waziri mkuu aliyechukua kijiti hajui maana ya elimu yeye anajua kilimo tu bila elimu.
lowasa alifuta uzembe wa watendaji. utiisho wake tu watu wakisikia anatembelea ofisi walikuwa wanaosha hadi vibaraza kwasababu akikuta mtu mzembe anakuadibisha palepale iwe fundisho. wavivu na wazembe walifurahi kweli kipindi anajiuzulu.
lowasa ni mtu mwenye uwezo wa kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa.
ni mtu asiye wagawa wananchi kwa minajiri ya dini. anapendwa na kila dini kusema ukweli.
Tanzania tuhahitaji mtu mwenye vision, uwezo wa kutawala, uwezo wa kuongoza, kusimamia mambo ya maendeleo hata wananchi wakayaona. hivi, imagine angekuwa waziri mkuu hadi leo hii mambo yangekuwaje, mwaka mmoja tu alikuwa waziri mkuu lakini alileta maendeleo ya shule hadi leo hii kila mtu anamsifu?
lowasa ndiye waziri pekee tangu nchi ipate uhuru aliyechukua maamuzi magumu bila kuwasikiliza mafarao kama membe anavyofanya, akachukua maji ya victoria na kuyaleta kahama shinyanga na nzega. alipotembelea kahama na shinyanga walimpongeza sana, maeneo yote ya kule kura ni za lowasa. hapa juzi tulisikia membe anatumika na wamisri ati hadi leo anasema maji ya victoria tunatakiwa tuyatumie kwa kuwafikiria wamisri? sijui alipewa hela za kampeni ili aongee hivyo au vipi, yaani wasukuma na wakurya na wahaya wasitumie maji ya victoria kwasababu mwarabu hataki tuyatumie? huyo ndio rais tunayeambiwa atagombea mwakani, kibaraka wa waarabu.