Ushauri wangu kwako ni huu: Muda unaoutumia humu jf, ni bora ungeutumia kujifunza kiswahili.Je Mh Lowasa na chama mfu chadema wanatofautiana kauli?
Mfano:
Je kwa nini wanakindhana? Je Mh. Lowasa kwanini anatumia unyenyekevu ktk kuwasilisha au kukosoa serikali?
- Lowasa akisema naiomba serikali;
- Mbowe na genge lake wanasema tunaitaka serikali ifanye...
Watu kama nyie zawadi yenu inayowafaa ni ile aliyoionyesha Sugu bungeni.Mbowe: Tutaitisha maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima
Lowasa: CHADEMA kimegraduate kutoka uanaharakati hadi chama cha siasa
Kiswahili na sio kiswahili. Kuna tofauti kubwa kati ya Mungu na mungu....kujifunza kiswahili.
..kamusi ya kiswahili...
Haujazingatia kanuni za uhandishi kwa 72%.sijui ulienda shule kusomea ujinga?!Je Mh Lowasa na chama mfu chadema wanatofautiana kauli?
Mfano:
Je kwa nini wanakindhana? Je Mh. Lowasa kwanini anatumia unyenyekevu ktk kuwasilisha au kukosoa serikali?
- Lowasa akisema naiomba serikali;
- Mbowe na genge lake wanasema tunaitaka serikali ifanye...
Ninampa pole sana aliyekufundisha sarufi. Watu kama wewe Magonjwa Mtambuka, huwa mnasababisha walimu watukanwe.Kiswahili na sio kiswahili. Kuna tofauti kubwa kati ya Mungu na mungu.
Pale unapotaka kumfyatua adui ila unakuta bunduki haiko na risasi [emoji13]Je Mh Lowasa na chama mfu chadema wanatofautiana kauli?
Mfano:
Je kwa nini wanakindhana? Je Mh. Lowasa kwanini anatumia unyenyekevu ktk kuwasilisha au kukosoa serikali?
- Lowasa akisema naiomba serikali;
- Mbowe na genge lake wanasema tunaitaka serikali ifanye...
Unakujakuja, ongeza juhudi, umiza kichwa, pambana, one day utatoka boss, speed yako inaridhishaMbowe: Tutaitisha maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima
Lowasa: CHADEMA kimegraduate kutoka uanaharakati hadi chama cha siasa
Hii nayo kaliKiswahili na sio kiswahili. Kuna tofauti kubwa kati ya Mungu na mungu.
Mkuu umekuwa mtetezi wa Lowasa siku hizi? kweli kakubadilisha,mpiganie!CCM wote hamlali mnamuwaza Lowasa tu
mmmmh umenichekesha mnoHaujazingatia kanuni za uhandishi kwa 72%.sijui ulienda shule kusomea ujinga?!
Uhandishi ndio nini? Ongea Kiswahili bwana,Haujazingatia kanuni za uhandishi kwa 72%.sijui ulienda shule kusomea ujinga?!
Ha ha ha, hunisumbui hata kidogo.Ninampa pole sana aliyekufundisha sarufi. Watu kama wewe Magonjwa Mtambuka, huwa mnasababisha walimu watukanwe.
Tz kwa sasa hatuna chama cha upinzani. Tuna chama tawala tu ambacho ni CCM! Wengine ni waganga njaaMudawote utaumia sana CCM hata mkizuia mikutano ya vyama vya upinzani Chadema IPO Na itaendelea kuwepo kama ni Ufu hata CCM ni Mfu kwani imeshindwa kuwaletea maendeleo nchi hii Kwa miaka 54.