Lowasa kishapata wadhamini milioni 2.6mikoa 26

Lowasa kishapata wadhamini milioni 2.6mikoa 26

NYEREGENDA

Senior Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
174
Reaction score
30
Mpaka saa hii wamemdhamini watu 2.6 na watu maarufu wafuatao wamemdhamini huku zanzibar yumo moyo bilal seif na kule bara yumo nchimbi apson kingunge
 
Mimi namdhamini,lakini panga habari yako vizuri!
 
Acha kumpunguzia hishima weyee, akitokeza tu barabarani kujitambulisha, hao ni watu wa mkoa wa Mbeya pekee achilia mbali, Mwanza, Kagera, na huko mnako chukia zaidi yaaani Kaskazini
 
Back
Top Bottom