Lowasa kama Sani Abacha? Je haki kuwalingansha?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Fisadi Lowasa na Genge wanashabihiana moja kwa moja na aliyepata kuwa Kiongozi wa Nigeria Sani Abacha ambaye familia yake iliiba nchini humo karibu Dola za Kimarekani Biloni $ 5!
Ukizingatia nimesikia kwamba fisadi Lowasa ana zaidi ya Dola za kimarekani $ milioni 400 huko Uingereza!

Baada ya Abacha kuondolewa madarakani nchi nyingi Duniani ambazo Abacha alificha Mali zake ikiwemo Marekani zilitaifisha Mali za Sani Abacha na na kuzirudisha kwa Wanigeria!

Je, Mahakama ya kupambana na ufisadi inayotegemewa kuundwa na Raisi Dr.Pombe Magufuli pia itawashughulikia fisadi Lowasa na Genge na kurudisha Mali zetu walizopora kama vile Jumba la Ubalozi wa Afrika Kusini pale Masaki linalomilikiwa na fisadi Lowasa!

Sani Abacha pia hakuwahi kufikishwa Mahakamani lkn hakukumaanisha kwamba hakuwa fisadi na ndiyo maana Mali zake zimekamatwa Ulaya, Marekani na kwingineko hata fedha zake alizokuwa ameficha huko Uswisi baadhi zilirudishwa Nigeria, na familia yake mbona haikusema na kulalamika kwamba kwa nini Sani Abacha hakufikishwa Mahakamani? H

Hivyo kutokupelekwa Mahakamani hakuumanishi kwamba Lowasa siyo fisadi !
 
fisadi barbarosa sani abacha mali zake zimekamatwa kwa kuwa mahakama ya nigeria ilitoa agizo kwenye nchi husika na ilithibitisha mali hizo.. wewe fisadi barbarosa umesikia tu urongo wa fisadi slaa aliyepewa vijisenti atutoe nje ya reli ukaamini. hakuna kushabihiana hapo ila fisadi slaa ndio anashabihiana na abacha kwani amekubali kununuliwa kwa pesa nane na kulipiwa press conference ili achafue hali ya hewa. sisi tunasonga mbele kwani tulianza na Mungu, tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu katika ubora wetu.
Fisadi Lowasa na Genge wanashabihiana moja kwa moja na aliyepata kuwa Kiongozi wa Nigeria Sani Abacha ambaye familia yake iliiba nchini humo karibu Dola za Kimarekani Biloni $ 5!
Ukizingatia nimesikia kwamba fisadi Lowasa ana zaidi ya Dola za kimarekani $ milioni 400 huko Uingereza!

Baada ya Abacha kuondolewa madarakani nchi nyingi Duniani ambazo Abacha alificha Mali zake ikiwemo Marekani zilitaifisha Mali za Sani Abacha na na kuzirudisha kwa Wanigeria!

Je, Mahakama ya kupambana na ufisadi inayotegemewa kuundwa na Raisi Dr.Pombe Magufuli pia itawashughulikia fisadi Lowasa na Genge na kurudisha Mali zetu walizopora kama vile Jumba la Ubalozi wa Afrika Kusini pale Masaki linalomilikiwa na fisadi Lowasa!

Sani Abacha pia hakuwahi kufikishwa Mahakamani lkn hakukumaanisha kwamba hakuwa fisadi na ndiyo maana Mali zake zimekamatwa Ulaya, Marekani na kwingineko hata fedha zake alizokuwa ameficha huko Uswisi baadhi zilirudishwa Nigeria, na familia yake mbona haikusema na kulalamika kwamba kwa nini Sani Abacha hakufikishwa Mahakamani? H

Hivyo kutokupelekwa Mahakamani hakuumanishi kwamba Lowasa siyo fisadi !
 
Lowasa atosha,na yeye ndio Rais wetu mtake msitake. Lowasa adumu milele.
 
Watu kama Lowassa wenye mapesa na majumba nje ya nchi ni wa kuwaogopa sana.
 
Pole sana, hata muimbe na tarumbeta mmechelewa, Fast train ya UKAWA iko mbali huwezi kuifikia tena. Pole sana
 
Watu kama Lowassa wenye mapesa na majumba nje ya nchi ni wa kuwaogopa sana.
Kama vzile za watuhumiwa wa Escrow walizonunua kule Australia. Na mengine mnaporomosha prime areas Dar es Salaam. Hayati Baba wa Taifa akifufuka leo ataomba afe asifufuke tena kabisa. Aibu kubwa sana. Sasa mwisho wenu umefika mkuu wangu.
 
Mbona hizo za akna Chenge huzisemi ? Fisadi alikufisidi nn kama una ushahidi si ukamfungulie kesi ?Escrow na eppa nazo ni lowasa?
 
Ndiyo! Wahusika ni fisadi Lowasa na Genge lake!

​
 
Back
Top Bottom