Lowasa jana umetumiwa msg nzito sana! That is how people work!

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,267
Reaction score
14,275
Jana Lowasa wamemjibu kwa tamko kali hakuna kuzika! Unajuwa hivyo ndivyo watu wanafanya kazi, wewe unataka kutumia msiba kama sehem yakupiga kampeni ipo ok mzee? Mh mbatia na wewe umelewa vijisenti? Hehehehe in shot hamna pakwenda malipo ni hapa hapa duniani. Mtaniambi.
 
Mbeya & Dar
 
Attachments

  • 1439570905622.jpg
    1439570905622.jpg
    75.7 KB · Views: 941
Jana Lowasa wamemjibu kwa tamko kali hakuna kuzika! Unajuwa hivyo ndivyo watu wanafanya kazi, wewe unataka kutumia msiba kama sehem yakupiga kampeni ipo ok mzee? Mh mbatia na wewe umelewa vijisenti? Hehehehe in shot hamna pakwenda malipo ni hapa hapa duniani. Mtaniambi.

WEWE KIDUBWANA!
MBONA UNAWATISHA UMMA WA WATANZANIA
ii
 
HII NI INCHI YA KIDEMOKRASIA NDUGU!
HAKUNA MWENYE HATI MILKI YA NCHI YA TANZANIA
oo
 
Jana Lowasa wamemjibu kwa tamko kali hakuna kuzika! Unajuwa hivyo ndivyo watu wanafanya kazi, wewe unataka kutumia msiba kama sehem yakupiga kampeni ipo ok mzee? Mh mbatia na wewe umelewa vijisenti? Hehehehe in shot hamna pakwenda malipo ni hapa hapa duniani. Mtaniambi.

Mkuu utakufa kwa presha make kila baada ya dakika 10 unakuja na uzi mpya, ushauri wangu kwa wana CCM tijikite sana kumnadi mgombea wetu, kwa sasa tunacheza ngoma ya UKAWA, kwa sasa chochote kile kitakacho ongelewa kuhusu Lowasa hakibadilishi chochote kile, ingekuwa USA ingeweza saidia ila huku ni kazi bure hata tungekuja na sarakasi gani hazitabadilisha watu kamwe.
 
Ala kumbe ni wewe uliyeleta Uzi Wa kumtishia Nyau lowasa na familia yake ,sawa tumekuskia asante kwa taarifa
 
granted but still....a countdown towards CCM eternal demise!
Mkuu hiyo michezo wamecheza kina Slaa na Lipumba wameshindwa itakuwa Lowassa, nahisi akidndelea kuna siku atachezea selo, aimbe vixuri piiipooooz!!
 
Jana Lowasa wamemjibu kwa tamko kali hakuna kuzika! Unajuwa hivyo ndivyo watu wanafanya kazi, wewe unataka kutumia msiba kama sehem yakupiga kampeni ipo ok mzee? Mh mbatia na wewe umelewa vijisenti? Hehehehe in shot hamna pakwenda malipo ni hapa hapa duniani. Mtaniambi.

Wee leo unatafuta kupigwa pumbv na UKAWA ..!!! Huko CCM hakuna wa kukupumulia kisogoni..!? Sie hatufanyi ufirauni huo...bastard...!!!
 
Huyu jamaa anavuta bangi nn?? Kwani lowasa aliwaita wale watu wamsindikize?? Watu walienda wenyewe sasa ulitaka afanye nini??
 
No matter how stricter policcm become, CCM is sailing in a rocking boat. It'll remain to be recorded in history that this party disintegrated in 2015
. Come Magufuli or someone else all economic criminals will be put on trial. Mark my words.
 
Jana Lowasa wamemjibu kwa tamko kali hakuna kuzika! Unajuwa hivyo ndivyo watu wanafanya kazi, wewe unataka kutumia msiba kama sehem yakupiga kampeni ipo ok mzee? Mh mbatia na wewe umelewa vijisenti? Hehehehe in shot hamna pakwenda malipo ni hapa hapa duniani. Mtaniambi.

Ukianzisha ngumi uwe na uhakika wa kushinda vinginevyo mpinzani wako akikushinda mbinu na akaiteka himaya yako usije tena mbio kupost uzi mwingine mkuu.
 
Jana Lowasa wamemjibu kwa tamko kali hakuna kuzika! Unajuwa hivyo ndivyo watu wanafanya kazi, wewe unataka kutumia msiba kama sehem yakupiga kampeni ipo ok mzee? Mh mbatia na wewe umelewa vijisenti? Hehehehe in shot hamna pakwenda malipo ni hapa hapa duniani. Mtaniambi.

Ninyi ndo mnaofanya wabongo tuonekane hamnazo,embesiri wee
 
Unazidi kutaga tu utapasuka tundu hilo maana hii ni kama posti ya tatu yenye vitisho kwa Lowasa. Hiyo santuri yako imeshachuja njoo na santuri mpya
 
Jana kikwete angefunikwa na lowasa ndo maana jamaa wakasema asiende
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom