Lowasa: Hakuna wakuni kata jina ccm.

pesa ndo kila kitu, kama Uhuru na Ruto mbali ya maovu yao leo wanapeta ikulu bila wasiwasi. Hata Zuma kule south ni pesa tu na umbumbu wa waliowengi.
Africa siasa ni upumbavu mtupu.
Kizazi cha werevu na majasiri bado hakijazaliwa!
 
Lowassa mpango wa Mungu wa mbinguni...usiniulize swalii...!!
 
Hajajifanya yeye mkubwa kuliko chama bali kasema kweli hakuna mtu wa kumkata kwa sababu chama ni vikao si uamuzi wa mtu na ukitaka ushahidi muulizeni mangula na sekretereati yake walipotumia nguvu nyingi kuhakikisha jakaya hawi mgombea wa ccm lakini alipofika kwenye vikao wakanywea na jakaya akapasua akawa mgombe historia inajirudia na hata alipoulizwa kikwete na waandishi kama atashindwa akasema yeye hajaingia ili ashindwe tena akaengeza safari hii akifanyiwa mizengwe yeyote hatokubali kwa hiyo hakuna ajabu lowassa akisema hivyo na rekodi zipo mikakati miovu yote ilopangwa dhidi ya lowassa katika chama cha mapinduzi hakuna ulofaulu hata mmoja bali waloipanga walin'goka wao waulizeni chiligati, mukama, msekwa. Uvumi wote ulowahi kutangazwa dhidi ya lowassa hakuna hata mmoja ulowahi kutokea.
 
Sasa hapa EL anaonewa au hao wengine hawatendewi haki kwa kutosemwa? Kama vipi anza wewe kuwasema, it is a free country.
 
Goodbye Lowasa, bado utaijua CCM vizuri
 
Would you go home mm mamvi we don't want you're big hand
 

Atakatwa kwa sababu gani mfano? ndani ccm nani msafi atakayethubutu kuinua jiwe? au hujui kuwa kashfa zote hapa nchini zinaratibiwa na ccm system! ref. epa,meremeta,kagoda,escrow etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…