Always, ukweli ni mchungu, lakini inabidi usemwe.
Lowassa ni fisadi, ni kweli, lakini watanzania wengi wanamkubali, huo nao ni ukweli hata kama hatuutaki.
Katika pita pita zangu kila sehemu ninayofika hata kama ni safari za mikoani huwa najaribu kuchokoza mada za siasa ili kupata mawazo yao. Wengi wanajua kuwa jamaa ana kashfa, ila wanasema ni mchapakazi. Wengi wanasema kama Lowassaa atapitishwa kuwa mgombea bila shaka watampa kura yao. Naomba msinishambulie mimi mgeni jukwaani bandugu:lock1:
.... lazima asimame mtu mwenye mvuto na ushawishi kwa watu wa lika zote,E.L ni moja kati ya watu hao,ama magufuli,lakini kama tutataka rais mwanamke basi Mama rose anaweza pata nafasi hiyo.
Mwambie aje tumfanyie maombi aendelee na kazi mbona huo ugonjwa rahisi kabisa!
Nyekundu:
Rais wa mvuto ana gharama kubwa sana ...waulize bei ya rais huyo watanzania walioshiriki uchaguzi mkuu kuanzia miaka ya 2000. Kwa kifupi sifa hii haifai kutiliwa maanani kupata rais wa Tanzania.
Bluu:
Ushawishi waweza kuwa muhimu kama utatumika vyema kwa viongozi husika. Lakini ushawishi ukitumika vibaya yaweza kuwa yale ya akina Lamwai, Mrema wa CCM, NCCR-mageuzi na TLP ya sasa, Kafulila, Kaburu wa enzi hizo,..na sasa Zuberi. Pia ushawishi ukitumika vizuri yaweza kuwa yale ya akina Baba wa Taifa.
zambarau:
Kuchagua rais kwa kigezo cha jinsi (me au ke), huu ni ubaguzi mwingine wa kijinsia...ambao unalenga kuwagawa Watanzania kwa malengo yaleyale ya propaganda za kishezi zinazogawa watanzania kwa ukabila, udini, rangi, ukanda na mengine kama hayo. Pia hii itakuwa inaendeleza udhalilishaji wa jinsi ya "ke" kuwa haijiwezi bila kupendelewa na kwa namna moja ama nyingine , pia mnazidi kujenga badala ya kubomoa mfumo dume.
Rais atokane na sifa za kiongozi bora. Jinsi ya mtu kamwe haitakuja kuwa sifa ya kiongozi bora kwa Watanzania wanaohitaji kusonga mbele kimaendeleo kwa kujitegemea bara bara.
Engineer (ni kidhani eng. uliyoambatanisha kwenye ID yako inawakirisha sifa hiyo) rudi design room uandae mkakati mpya wa kupata Rais anayefaa kuiongoza Tanzania, huu wa sasa uko chini ya kiwango kwa asilimia mia moja.
huyu jambazi nani atampa urais...
ni kwamba,wewe unaweza usimpe,lakini waendesha boda boda na marafiki zake,jamaa ndugu na majirani watafanya hivyo,unaweza usiamini kitakachotokea,lakini ndio siasa ilivyo kwani vyama vyote duniani malengo yake ni kushika dola na si kupaka wanja na kikawaida huwezi kusimamisha jiwe kama unahitaji kushika dola,ni lazima umsimamishe mtu mwenye uwezo na mvuto kwa jamii,ndani ya ccm E.L anao uwezo huo,akifuatiwa na Dr. magufuli,Dr.makyembe,lakini kama tutahitaji rais mwanamke basi mama Dr.migiro anaweza kusimamishwa
Mbona wakumpa tuko wengi. Hakuna jembe kama Lowasa Tanzania hii.
Umiliki wa chombo cha usafiri kwa vijana kunawasaidaje vijana kumuwezesha kuwa na maendeleo endelevu (sustainable development) ukizingatia changamoto za kumiliki chombo hicho?
Ni kweli wanamkubali ila na sie wananchi watz ni noma aisee tunaongozwa na watu wasiozidi 20 ambao wakisema Lowasa ni mbaya kila mtu atasema mbaya kama ilivyotokea miaka iliyopita na sasa hivi tena wananchi wengi wanaonekana kusema Lowasa mzuri, usishangae tena miezi michache kabla ya kuchukua fomu hali ikabadilika tena na kuanza kusema mbaya tena wale wale waliokuwa wanamsifia wakabadilikaAlways, ukweli ni mchungu, lakini inabidi usemwe.
Lowassa ni fisadi, ni kweli, lakini watanzania wengi wanamkubali, huo nao ni ukweli hata kama hatuutaki.
Katika pita pita zangu kila sehemu ninayofika hata kama ni safari za mikoani huwa najaribu kuchokoza mada za siasa ili kupata mawazo yao. Wengi wanajua kuwa jamaa ana kashfa, ila wanasema ni mchapakazi. Wengi wanasema kama Lowassaa atapitishwa kuwa mgombea bila shaka watampa kura yao. Naomba msinishambulie mimi mgeni jukwaani bandugu:lock1:
Sizitaki mbichi hiziumiliki wa chombo hicho kwa vijana utamsaidia Lowasa kutengeneza ngazi ya kuelekea kwenye urais, ijapokuwa sasa hivi anajishaua kwamba hautaki urais.
Si ndio mzuri huyo maana akiingia ataona noma maana mara ya kwanza alishitukiwa (jokes)Hatufai hata kidogo wametuibia ndo wanakuja kutuhonga tuwape kura hapati
Mahakama ipi imemkuta na kosa la ujambazi? Lowassa ndiye rais ajaye.
Ktk viongozi ambao Chama Cha MIZIGO kimebahatika kuwapata ni pamoja na Huyu EL!HOFU NI AFYA YAKE HAWEZI KUKAA MADARAKANI KWA ANGALAU KWA 5YRS,