huyu jambazi nani atampa urais...
Lowasa ameukana urais kwa kudai kwamba urais ni uchuro. Akiongea na vijana waendesha bodaboda kwenye mkutano wa hadhara, mara vijana hao walianza kuimba: rais, rais, rais, rais wetu wa 2015. Lowasa aliwakataza waache kumuita hivyo kwani urais ni uchuro na kwamba kufanya hivyo watakuwa wanamchonganisha na watu. Lowasa aliwaahidi vijana hao kuwachangia fedha ili kila mmoja amiliki chombo chake cha usafiri.
Source: Lowasa mwenyewe:israel:
Ktk viongozi ambao Chama Cha MIZIGO kimebahatika kuwapata ni pamoja na Huyu EL!HOFU NI AFYA YAKE HAWEZI KUKAA MADARAKANI KWA ANGALAU KWA 5YRS,
Anaumwa nini tena?
ana pepo la wizi....
Always, ukweli ni mchungu, lakini inabidi usemwe.
Lowassa ni fisadi, ni kweli, lakini watanzania wengi wanamkubali, huo nao ni ukweli hata kama hatuutaki.
Katika pita pita zangu kila sehemu ninayofika hata kama ni safari za mikoani huwa najaribu kuchokoza mada za siasa ili kupata mawazo yao. Wengi wanajua kuwa jamaa ana kashfa, ila wanasema ni mchapakazi. Wengi wanasema kama Lowassaa atapitishwa kuwa mgombea bila shaka watampa kura yao. Naomba msinishambulie mimi mgeni jukwaani bandugu:lock1:

Lowasa ameukana urais kwa kudai kwamba ‘urais ni uchuro'. Akiongea na vijana waendesha bodaboda kwenye mkutano wa hadhara, mara vijana hao walianza kuimba: "rais, rais, rais, rais wetu wa 2015". Lowasa aliwakataza waache kumuita hivyo kwani urais ni uchuro na kwamba kufanya hivyo watakuwa wanamchonganisha na watu. Lowasa aliwaahidi vijana hao kuwachangia fedha ili kila mmoja amiliki chombo chake cha usafiri.
Source: Lowasa mwenyewe:israel:
Unaposema Watanzania wengi wanamkubali, una ushahidi?? Maana hata hapa JF tukipiga kura sidhani kama tunaweza kupata hayo matokeo unayoyakadiria!! Hizo pesa za marafiki zake anazozigawa hovyo hovyo ndizo zitampeleka choonini 2015!!
huyu jambazi nani atampa urais...