Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 571
Mbona Nyerere hatumsahau?SIKU zote wezi hawasauliki
Nyerere atakuwa alikuwa mwizi mkuu, mimi nimeshindwa kabisa kumsahauSIKU zote wezi hawasauliki
Hata kama wewe ni mbaya , Mara nyingi
Ukiona watu wanakusema sana Wanakuogopa wewe au kivuli chako !
Ukigeuka Huku Lowassa,
Kule Lowasaa,Kushoto Lowasa,
Nje ya Ukumbi Lowasa AtiLowasa !!
Kwa maoni yangu
Watu wanahofu kubwaaa !!
pele alikua jambazi kuu...hajasahaulika na watu weng sana dunianiSIKU zote wezi hawasauliki
Tumia akili kidogo ili ueleweke.Una ndugu jambazi maarufu anaitwa Pele?pele alikua jambazi kuu...hajasahaulika na watu weng sana duniani
kwan ww una ndugu jambazi ambae kamwe hutamsahau?Tumia akili kidogo ili ueleweke.Una ndugu jambazi maarufu anaitwa Pele?
Itabidi JF waanze kuulizia vyeti kabla ya kuwaunganisha watu humu.Kuna watu mnaonekana upeo wenu wa kufafanua jambo ni too low.Mnatupa tabu sana kuelewa maelezo yenu.kwan ww una ndugu jambazi ambae kamwe hutamsahau?
wala hatishi ila wanamsikitikia mauvo yake juzi nilikutana na mfuasi wake wa karibu wa lowasa nikamuuliza kuhusu lowasa akaniambia hana pesa imeisha unaona chadema ipo kimyaaaHata kama wewe ni mbaya , Mara nyingi
Ukiona watu wanakusema sana Wanakuogopa wewe au kivuli chako !
Ukigeuka Huku Lowassa,
Kule Lowasaa,Kushoto Lowasa,
Nje ya Ukumbi Lowasa AtiLowasa !!
Kwa maoni yangu
Watu wanahofu kubwaaa !!