ndugu zangu wa mwanza hii sijapata majibu yake mpaka sasa!
Kama unafuatikia siasa za nchi hii hebu wanasiasa wa upinzani wajipange vyema wkt wa kuhesabu kura na hata kutangaza matokeo ili wasije chezewa sindimba la karne hta kama jamaa anauzika bila discount.Lowassa anakubalika sana sana wakuu.... Ana mvuto na anauzika sio kama yule jamaa mwingine....