Huyu jamaa it is about time aanikwe wazi, ni huyu huyu jamaa mjinga mjinga niliyemsema kwenye topic moja ya Mtanzania na kilio cha Kapepe, yaani jamaa inapokuja kwenye attention na kujipitisha pitisha hata aibu huwa hana, aibu mtu mzima hii duh!
Alianza na Ze-Comedy na ushoga akaona watu wamerukia sana, sasa ndio huyu anaendelea tufike mahali topic zingine zisijibiwe, maana huu ni utoto kwa wale tunaomjua, mara kawa rafiki wa viongozi wa ccm, mara kawa Nchimbi duh jamaa sina hamu, halafu hapa JF yeye ni Chadema sana, wallahi hawa viongozi ni sisi wenyewe!
Mkuu wa heshima mbele unantisha!!!
Angalia usifanye huyu Jamaa akakimbia humu jamvini.Inaonesha unamjua kwa karibu pamoja na Majina yake mengi atumiayo humu ndani.
Taabu ninayopata na huyu jamaa ni kuwa kila akianzisha topic hukimbia na kuwaachia watu wengine wachangie.!!