Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,233
- 2,801
Naona umesutwa balaa bluuWala sijashadadia gono na uti, nimeuliza kama umepanda mti kabla ya mwingine kukatika au miti imepandana...
...wa kurelax na kunywa ya kutosha unadhani ni mimi kweli!! Anyway, furahia huba!!
Wewe hukupewa kumbe uduguu.?!!Hizo story kuna zilipoanziaga uduguuu tena humuhumu watu wanajizima data tu kutaka nionekane mimi ndie nilizianzisha !
Okay wanasema mimi nilisema jamaa amewaambukiza Gono/Ukimwi
Amewaambukiza means hakuniambukiza mimi but wao
Mpaka hapo waambukizwaji ndio source yahizi story and not me!
All was a lie he's clean and safe!
Unajibu huku unacheeka kwa dharau😂😂😂Sa watoto kitu gani? Kwani wanawabeba mgongoni? Yani watoto ndo wazuie watu kupendana🤣🤣🤣 nyieee🤣🤣🤣
Wifi Lamomy hebu weka ule wimbo wa Nandy na Alikiba couple yetu ienjoyyyyy.
Huo hapo wifiSa watoto kitu gani? Kwani wanawabeba mgongoni? Yani watoto ndo wazuie watu kupendana🤣🤣🤣 nyieee🤣🤣🤣
Wifi Lamomy hebu weka ule wimbo wa Nandy na Alikiba couple yetu ienjoyyyyy.
Naomba jibu lako mimi humu mjinga.
Unataka kuniambia Smart911 atamuoa Mahondaw?
Je Smart hana Mke?
Kuna mdau nilisoma mahala kuwa Mslahondaw ana watoto 2 je ni wa Smart911?
Mahondaw hana mume?
Ukinijibu haya humu sitaingia tena
😂😂ila watuHuo hapo wifi
Lyrics
Mmmmmh oh oh oooh mmmh
(Yogo on the Beats)
Yaani, nikikutazama
Naiona dunia wangu peke yangu tu
Jua linapozama, giza likiingia
Natamani nikuine tu
Ooh baby ukisakata rhumba
Sijalewa nayumba
Caterpillar limebomoa nyumba
Mmmh
Natamani nife nizikwe nawe
Shida na raha nawe
Niwe nawe
Mwenzako nimepatwa na homa
Umepasua ngoma
We baba ni noma
Mmmh
Akili imesita imegoma
Mwisho wa reli Kigoma
Mmmh ooh ooh
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Ooh baby
Nishaharibu koki ya mapenzi
Acha nilowe
Pacha wangu ni wewe
Tunamatch sare sare
Nitazurura kulilinda penzi
Kwa ndumba na chale
Tetere nipe mchele
Mzoga wake mwewe
Ooh, basi nikabidhi
Ooh moyo
Sitopunja wala kuupima
Aiyayaya
Haya nishaka ganzi na kichomi kuchoma
Mwili mzima wa tetema, ooh baby
Baby, umetekenya ngoma
We mama ni noma (Noma)
Akili imesita imegoma
Mwisho wa reli Kigoma
Kigoma, Kigoma ooh ooh
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Ooh baby, Ooh baby eeh
Sio na ndio, na ndio eeh baby
Baby, aah ndio baby
Sio, Yogo on the beat
Na ndio, na ndio, I see you, I see you
I love you baby
Nimemuona Mwachi kaniambia presha bado ipo hajapona vizuri 🤣🤣🤣Huu uzi balaa nmeona hadi Mwachiluwi amejitokeza 😅😅
Wambea hatushindwi kitu 😂😂😂😂😂ila watu
Santee my Wii....uwafikie wapendanao wote msimu huu wa valentine.Huo hapo wifi
Lyrics
Mmmmmh oh oh oooh mmmh
(Yogo on the Beats)
Yaani, nikikutazama
Naiona dunia wangu peke yangu tu
Jua linapozama, giza likiingia
Natamani nikuine tu
Ooh baby ukisakata rhumba
Sijalewa nayumba
Caterpillar limebomoa nyumba
Mmmh
Natamani nife nizikwe nawe
Shida na raha nawe
Niwe nawe
Mwenzako nimepatwa na homa
Umepasua ngoma
We baba ni noma
Mmmh
Akili imesita imegoma
Mwisho wa reli Kigoma
Mmmh ooh ooh
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Ooh baby
Nishaharibu koki ya mapenzi
Acha nilowe
Pacha wangu ni wewe
Tunamatch sare sare
Nitazurura kulilinda penzi
Kwa ndumba na chale
Tetere nipe mchele
Mzoga wake mwewe
Ooh, basi nikabidhi
Ooh moyo
Sitopunja wala kuupima
Aiyayaya
Haya nishaka ganzi na kichomi kuchoma
Mwili mzima wa tetema, ooh baby
Baby, umetekenya ngoma
We mama ni noma (Noma)
Akili imesita imegoma
Mwisho wa reli Kigoma
Kigoma, Kigoma ooh ooh
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Ooh baby, Ooh baby eeh
Sio na ndio, na ndio eeh baby
Baby, aah ndio baby
Sio, Yogo on the beat
Na ndio, na ndio, I see you, I see you
I love you baby
Nikujibu?Naomba jibu lako mimi humu mjinga.
Unataka kuniambia Smart911 atamuoa Mahondaw?
Je Smart hana Mke?
Kuna mdau nilisoma mahala kuwa Mslahondaw ana watoto 2 je ni wa Smart911?
Mahondaw hana mume?
Ukinijibu haya humu sitaingia tena
Wala sijashadadia gono na uti, nimeuliza kama umepanda mti kabla ya mwingine kukatika au miti imepandana...
...wa kurelax na kunywa ya kutosha unadhani ni mimi kweli!! Anyway, furahia huba!!
Na bado valentine tupo kushuhudia watu na couple zao 🤣🤣🤣Santee my Wii....uwafikie wapendanao wote msimu huu wa valentine.
Anajua yote!!! Humu ndani, unless simjui, ikiwa namjua namuumbua mchana kweupe. Jinafasi na Smart911 wako.Yani mwenyewe kaufyanta kimyaa kiherehere sasa afu haujui hata ukweli anatetea tu nhaaaanhaaa!!
Nacheka mimiiiii
Aikooo! Hapo kwa D mnatuchanganya wauza silaha🤣Mdogo Depal aliweka taarifa zote na kwamba Smart angesema Su🤣🤣🤣🤣 evidenga zingemwagwa sikuile akawa mtu mzima kustay Calm and the strorm was in fake Calm Kama huamini fufua Hilo kaburi Simu ziite sasa hivi🤣🤣🤣🤣🤣 Moyo ueleee
Mjibu mahi 🤣🤣🤣Nikujibu?
Smart911 hapa Nimecheka tu sitii neno 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!You are wrong my friend. Ubinadamu si kugive up. Ubinadamu ni kupambania chako hadi tone la mwisho. Mwanamke wa shoka huwa haachi mume wake kirahisi isipokuwa malaya. Mwanamke atapambana na kwenda hata kwa waganga ili amrejeshe mume wake. Roho zenu ni sababu ya umalaya unawasumbua. Unadinywa na huyu, kesho yule keshokutwa etc. Nampongeza @mahondow
Kwa niaba yake nasema SU haya tunasubiri kupokea simu 😂😂😂😂Aikooo! Hapo kwa D mnatuchanganya wauza silaha🤣Mdogo Depal aliweka taarifa zote na kwamba Smart angesema Su🤣🤣🤣🤣 evidenga zingemwagwa sikuile akawa mtu mzima kustay Calm and the strorm was in fake Calm Kama huamini fufua Hilo kaburi Simu ziite sasa hivi🤣🤣🤣🤣🤣 Moyo ueleee
Mambo tuyapendayo hayo my Wii.......Na bado valentine tupo kushuhudia watu na couple zao 🤣🤣🤣
Mtoto wa Arusha Supermart asikubabaishe tuna data zake. Wewe muombe Mahondaw anipe ruhusa nimwage kila kituAikooo! Hapo kwa D mnatuchanganya wauza silaha🤣Mdogo Depal aliweka taarifa zote na kwamba Smart angesema Su🤣🤣🤣🤣 evidenga zingemwagwa sikuile akawa mtu mzima kustay Calm and the strorm was in fake Calm Kama huamini fufua Hilo kaburi Simu ziite sasa hivi🤣🤣🤣🤣🤣 Moyo ueleee