Loving you Mahondaw

Naomba tulia kwanza tumalize kumuapisha rais πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenzio napewa mambo ya nje, full kuswampa na kuchafua passport πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
Utakuwa unanilindia wizzy 🀣🀣
 
Naomba tulia kwanza tumalize kumuapisha rais πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenzio napewa mambo ya nje, full kuswampa na kuchafua passport πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
Utakuwa unanilindia wizzy 🀣🀣
Oooh ole wake muasi yeyote amnyatie Wizzy atakula bomu la nyuklia kama la Hiroshimaa
 
Oooh ole wake muasi yeyote amnyatie Wizzy atakula bomu la nyuklia kama la Hiroshimaa
Atakayemnyatia nimekuruhusu mripue 🀣🀣🀣
Sema wifi zangu hawana baya, tuko pamoja wakichukua utawala niko nao, wanipe hata msemaji wa serikali yao
 
Mwenye Kisu kikali 🀠🀠🀠🀠!

Mi mbona ntakosa nyama kabisa sasa lol!
Wewe ni Pisi Kali Mjukuu, huwezi kukosa

Hukumbuki posa zilivyomiminika kwaajili yako, Tena Wanaume wenye ng'ombe 200 na zaidi πŸ€—, isingekuwa Wazee kusimama upande wa Smart huenda angekukosa 😜
 
Wewe ni Pisi Kali Mjukuu, huwezi kukosa

Hukumbuki posa zilivyomiminika kwaajili yako, Tena Wanaume wenye ng'ombe 200 na zaidi πŸ€—, isingekuwa Wazee kusimama upande wa Smart huenda angekukosa 😜
Babu jau ww.!! Wakati na ww ulikuwa unalitolewa macho zigo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…