Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,877
- 37,676
πππUna nn lknJimwaye mwaye udugu, uliteseka saanaa.!!!
Ss hivi inalala na kuamkia humo humo.!!
Ila unanitesea wifi zangu sijapentraaa π€£π€£π€£
Nawapeleka makete tunamnyakua tena miongozo πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Na nyie mkafungue uzi wenu wa kubebishana.!! π€£π€£π€£Usikuze hilo kwenye ubongo wako, ndio maana sikuhitaji kukuambia.
Nasubiri lile jambo,February ndio hii au mimi ndio nili push?π€£
πππKwakweli...umepambana unastahili tuzo
π€£π€£π€£π€£Kwani siruhusiwi kuwa NATO?Dada utauponza π€£π€£π€£
Wifi sijui yuko wapi jamani?? Mwenye namba yake ampigie basi tujue anaendeleaje??
π€£π€£π€£π€£ Udugu emu kwanza tulia, leo umelala saa ngapi?? Mbona nasikia alikuwa anahonga dollar kwa bi mdogo??Weeee hebu mtake smart radhi pulllllllliiiiiiiiizzzzz !
Anajua majukumu yake as a responsible and caring man!
Afu hahongihongi hovyo shika adabu yako kwanii π!
ππππ€£π€£π€£π€£Kwani siruhusiwi kuwa NATO?
Weeeee sema kweli?π€π¬π€£π€£π€£π€£ Udugu emu kwanza tulia, leo umelala saa ngapi?? Mbona nasikia alikuwa anahonga dollar kwa bi mdogo??
Na nyumba kamjengea kwa taarifa yako πββοΈπββοΈπββοΈ
π€£π€£π€£π€£ Haiwezekani woote mpo nyumba kubwa mi Leo United States of America...maana hii vita ni ya Ukraine na Russia
Wacha weeJmn Maho/Anto na smart mapenzi tele
We cerebrate them
Ma mchungaji uolewe upunguze nyimbo za mapambio ππππππUna nn lkn
Saint Anne
Jenero inchaji !Hatambi yeye ni njemba ndo imeweka silaha chini
Au unataka kusema hii simu kashika jenero in chajiπ
Anakomment chini ya mwamvuli waπ
Ww tyuu!! Kikubwa ujue kurusha mabomu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwani siruhusiwi kuwa NATO?
Famchezo na smart weyeeee!!!Hahahahahaha kuna yule aliweka avata ya mchizi hivi yupo ? au anajipanga
Wifi kanipigia simu kasema kashaandaa kikosi cha mapinduzi km burkinabe yani πππWeeeee sema kweli?π€π¬
Basi m23 watakua kambini we kuweza kuacha $
Usikimbilie kulia π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Haiwezekani woote mpo nyumba kubwa mi Leo United States of America...maana hii vita ni ya Ukraine na Russia
As the head of United States of America,it's my painful duty to say Leo nitatoa contena 2000 za AK47, Submarine 3,na Tank 3000 na bomi la nyuklia 1 kulekea M23....Ili waasi wapambane na serikali kuu na washirika wake kina Lamomy cocastic Missy Gf π€£π€£π€£π€£ Depal njoo Ikuluπππ
Haya tukujue uko wapi
Nato, M23 au
Kwanini isiwe chumbani ?Na nyie mkafungue uzi wenu wa kubebishana.!! π€£π€£π€£
Hapa na Antonnia na Smart